In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar

Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa

akili yako na wadhifa wako haviendani hata kidogo.
Una sound kama umelewa gongo. Ndio maana CCM inapoteza heshima na umaarufu wake kila kukicha kwa sababu ya bongo lala kama wewe
 
Nape naona unakimbia maswali magumu.

Hivi hakuna kitengo cha chekechea huko ccm?

Maana mna jumuia za vijana,wazazi,wanawake,wazee nk.

Ya watoto wa chekechea ipo?Maana na wao wanahitaji mwenezi wao...
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa

Haya mtaalam wa kushikilia ..............naona Mwanza ukawaambia kuwa wanashikishwa ukuta hehehe ......sasa Cameron anataka kuwashikisha vizuri na mabakuli yenu. Subiri MBEYA utakana ID YAKO TENA.... yaani nachelea kusema hufai kuwa kiongozi kama huna misimamo kwanini hukukiri kuwa ni kweli ni ID yako and you are Sorry IP yako ninayo and other verification this will hunt you down in future. Ngojea tupate rais kwani nchi haina uongozi
 
ningeshauri uje na analysis ya kuonyesha viongozi wa nchi hii ni wangapi kisha uainishe ambao ni watoto wa wakubwa ni wangapi na ambao siyo ni wangapi

watoto wa wakubwa wana nafasi pia kama wao ya kuongoza labda kama unadata za kuonyesha wamewekwa bila utaratibu.
wewe kama si mtoto wa mkubwa na kuna nafasi ulinyimwa kwa sababu si mtoto wa mkubwa basi ingekuwa ni kianzio cha majadiliano na mbona kuna viongozi wengi tu wamejipenyeza na wana madaraka na si watoto wa wakubwa? Jamani hapa JF tunaweza kujadili mambo mengi ya maendeleo lakini tukishinda tunapigana majungu tu hatutafika popote.

Wewe unataka list unashangaza kweli; angalia kutoa list ilivyo vigumu... Rose Mkapa aliye Ubalozini NY ni mtoto wa kaka yake Benjamin Mkapa sasa sidhani alipata posting ya NY au kazi Wizara ya Mambo ya Nje kama sio Rais Benjamin Mkapa

Sasa wewe ukitaka nikupe hiyo list siishi Tanzania na Sio Mtumishi wa UTUMISHI

kama wewe ni Mmoja wao Shukuru siwezi kukutaja wewe sababu sina kinara hicho.... I will speak on what I know I'm FREE don't give me your homework I will speak my mind when i see my points are viable not get if from you a FISADI
 
Mambo ya kupeana vyeo naona imekuwa asili ya Tanzania sasa...hata kile chama cha mtikila katibu mkuu ni mkewe :

Democratic Party (DP)
Party Leaders
Rev. Christopher Mtikila - Chairman
Mrs. Georgia Mtikila - Secretary General
Contact Address
Mchikichini Ilala
P.O.Box 63102 Dar es Salaam
Mob: 0713-430516
0713-625349
Email: dp- watanganyika@yahoo.com
Date of Registration
Jun 7, 2002
 
iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
nape ze great, kula shavu mdogo wangu! Hii nchi haina mwenyewe. Naona umepiga chafya, inaonyesha una mafua ukitoka pitia india ukatibiwe.
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa

degree za India mbona huwa zinawafanya kuwa mazuzu sana? Nishakaa na watu kibao makamo yako yaani wengi wenu ni mazuzu. Siamini mwanaume mwenye maumbile kamili anaweza kuongea upupu kama huu.
 
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi

hili serikali lako linatupeleka pabaya leo nimekuta mitihani ya taifa darasa la nne inachapishwa pale mtaa wa twiga jangwani kariakoo na bag za plastic za kuifungia kwa kila shule!hii ni print unit ya mtu binafsi hakuna msimamisi yeyote wa serikali wala uwt!nape hembu kuwa serious na nchi inapoelekea ccm haina jipya hama huko njoo kwa vijana tuikomboe nchi
 
akili za nape ni sawa na za yule mtoto muigizaji wa kike wanayemuita l.ul.u
 
Mambo ya kupeana vyeo naona imekuwa asili ya Tanzania sasa...hata kile chama cha mtikila katibu mkuu ni mkewe :

Democratic Party (DP)
Party Leaders
Rev. Christopher Mtikila - Chairman
Mrs. Georgia Mtikila - Secretary General
Contact Address
Mchikichini Ilala
P.O.Box 63102 Dar es Salaam
Mob: 0713-430516
0713-625349
Email: dp- watanganyika@yahoo.com
Date of Registration
Jun 7, 2002

Darling Party, ni chama cha wao kuonyesha mapenzi yao.
 
jmshi1, kwani hukusikia maneno ya Nnape huko Mwanza? Usifikiri hayo ni maneno yangu ila maneno ya Nnape mwenyewe.

Aliwaambia Ngosha wa Mwanza kuwa kama wanawashwa, basi atawashikisha ukuta, wamuone alivyo kidume.

Sasa Nnape ambaye ni Mwanaume kuwaambia NGOSHA ambao ni Madume kuwa atawashikisha ukuta, SIYO USHOGA HUO?

Au wewe ushoga maana yake nini? Labda kama hili ulikuwa hujalisikia.

Ndiyo hapo nashangaa kuwa Ushoga Tanzania unafanywa na kusemwa hadi na watu wakubwa kama Nnape ila leo tunajifanya wakali kweli kuwa hatutaki ushoga. Aliposema Nnape, ilitakiwa watu tulaani na tuandamane kupinga kauli hiyo. Ila watu kama vile hawajasikia.
Mbona unaongea kama Nape mkuu?

Napenda maoni yako sometime,lakini sometime mhn!

Yani ushoga uruhisiwe kwasababu gani?

Wisdom is a virtue.
 
Sijawahi nadhani, ooooh sikumbuki kabisaaaa

Mkuu Nape heshima kwako,
Kwa vile umejitokeza naomba nikuulize swali moja.
Vipi umesikia kikao cha Wenyeviti na makatibu wa CCM? Umesikia maazimio yao? Wamependekeza kwa mwenyekiti ufukuzwe mara moja kwa sababu unaangamiza chama.Wamemuomba Rais upangiwe kazi nyingine.Kubwa zaidi wamesema waziwazi kikaoni kwamba una mpango wa kumuondoa Katibu mkuu wako kwa kushirikiana na kundi lako ambalo pia lilituhumiwa kwenye kikao hicho kwamba liliasi chama na kuanzisha CCJ.Pia kikao kilitaka kusomewa minutes za kikao cha halmashauri kuu iliyopita ili kujua kama kuna mahali yalitajwa majina ya watu wanaotakiwa kujivua gamba.
Mkuu fahamu unahali ngumu sana ndani ya CCM kuliko unavyofikiri.
 

386456_289782994376454_100000342668655_1028823_1598867757_n.jpg
Duh..Huyu mzee wa watu mbona amechoka hivyo??
 
Hivi ulisomea nini huko India?Nina ndugu anahudhuria huko nisije nikaidharau hiyo sehemu.

Mbona sioni nondo kama zile ulipokuwa India ukipingana na mafisadi?

ma umerudishwa kwenye system na sasa unajidai kichaa?



Nilidhani wewe ni mwanamapinduzi wa kweli na mtaka mabadiliko,lakini umekengeuka!

Ninaweza kukuletea threads hapa kipindi ukiwa India jinsi wana JF walivokuwa wanakuzimia.

Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.

Kumbe if you're not yourself unaweza kuwa kituko!



india alisoma mambo ya junolism......hana lolote huyo upstairs......
 
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi
Tatizo lako Nape unajisahau kwamba wewe ni kiongozi mkubwa sana wa chama. Unapokuja humu fahamu au tofautisha na majukwaa mengine ya kipumbavu ambako unaweza ukatoa majibu ya kipumbavu bila kuathili "personality" yako. Haya sio majibu au mchango wa kuutoa kwa tuhuma mzito zilizotolewa hapa. Watanzania makini wanaofuatilia maendeleo ya chama chao hawawezi kuuelewa ujuha wako huu. Naona umelewa madaraka uliyopewa bila vigezo.
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa



Siamini na wala sipendi kuami kama aliyeandika ni kati ya viongozi wakuu wa chama tawala cha nchi yetu tukufu ya TZ!!!
 
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
Njoo wewe mtoto mzuri, nimechagua jina la Hitler ili kudeal na wewe, sasa mbona unakimbia mnywa ugimbi wewe!
 
Back
Top Bottom