In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Nov 4, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  William Malecela
  ‎@ mUTUZ Good Morning FB: It is Friday you Know! ha! ha! ha! Well, My Babe F is here with me, So! ni Mpango Wangu Mzima, you know I Love the Baby!
  - Well, off to the JFK Airport Wazee are leaving today, and So is My Great Friend Mheshimiwa Nape, it was nice to have them here: MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI PEOPLE! - Will Mutuz!


  [​IMG]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Watoto wa wakubwa na wakubwa wao; sisi watoto wa wengine hata kama tuna uwezo wa kuiongoza nchi hatutapewa sababu viraka vya Uongozi vimeisha zibwa na watoto wa hao wakubwa ndani ya nchi.

  Sisi, pia twaipenda Nchi yetu lakini hatutaweza kupewa hiyo Nafasi, wao wanamalengo na mipango ya jinsi watagawana

  Ukiingia utaambia wewe ni MDINI, wee ni MKABILA, wewe ni MBAGUZI, wewe ni TAJIRI haujui KWENU, wewe ni HATARI kwa NCHI yetu

  Wanakuondoa bila hata kujua na Wana nguvu zote za serikali kuanzia JESHI, POLISI, IMMIGRATION na ARDHI utaenda wapi?

  Wao hao wanafurahia Matunda yao Nje ya Nchi na Matunda yao Ndani ya Nchi ...
   
 3. H

  Honey K JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi


   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Nape, mara yako ya mwisho kuongea point ilikuwa lini? Ndio maana ulishindwa Ubunge Ubungo kwa ajili ya uzuzumagic wako
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  ama kweli ccm is a family based party!kuleni maisha peke yenu sisi tusiokuepo ktk system tulale njaa!mnapokezana madaraka nyie kwa nyie.natumaini mabadiliko yatatokea hivi karibuni na haswa tutakaporuhusiwa kuwa na wagombea binafsi!
   
 6. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HEEEEEEE UMERUDI MAMA UNATIA AIBU NAPE WEWE SI ULIKANA KUWA HII SIO ID YAKO UNATAKA NINI SASA.... we si haukopost matokeo ya igunga kabla ya NEC JF hatusahau.................mtu mzima hovyoooooooooooooo!
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Nape,

  Unadhani usingekuwa mtoto wa Nnauye ungepata hiyo nafasi ndani ya magamba's system?

  Mfano wa Pinda ni mdogo sana,mbona Saudi wana baadhi ya viongozi ambao si ma prince na hawako kwenye famillia ya kifalme?

  Lakini hiyo ina maana kuwa serikali ya Saudi si ya kifalme?

  Again nachoona hapa ni yale yale ya "muwamba ngozi"
   
 8. H

  Honey K JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijawahi nadhani, ooooh sikumbuki kabisaaaa
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo William ndo yupi?
   
 10. H

  Honey K JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
   
 11. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Atakuwa huyo hapo mbele upande wa kulia kama sijakosea.Ukiangalia sura yeye ndo kafanana na Mzee Malecela sema William's skin ni a bit lighter.

  Again sina uhakika,ni base on the photo na pia kulinganisha na ile aliyoiweka kwenye avatar yake,basi uwezekano mkubwa ni huyo hapo juu far right.
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi yule mzee alihamia usa?hela zetu hizo
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Hivi ulisomea nini huko India?Nina ndugu anahudhuria huko nisije nikaidharau hiyo sehemu.

  Mbona sioni nondo kama zile ulipokuwa India ukipingana na mafisadi?

  ma umerudishwa kwenye system na sasa unajidai kichaa?

  Nilidhani wewe ni mwanamapinduzi wa kweli na mtaka mabadiliko,lakini umekengeuka!

  Ninaweza kukuletea threads hapa kipindi ukiwa India jinsi wana JF walivokuwa wanakuzimia.

  Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.

  Kumbe if you're not yourself unaweza kuwa kituko!
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Sasa kumbe weye ulikuwa hujui akina watoto wa kapuku kupata madaraka makubwa huko juu ni sawa na kukimbiza na kivuli ...
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nape Nnauye nani angepata opportunity uliyonayo Ulitakiwa ukwe D.C kwa Mkutano Ukaenda Houston, Dallas, New York kweli kama sio Mtoto wa Mkubwa nani angekupa hiyo stipend? ya kwenda state zote hizo? na bilia ya John Samuel Malecela kuwa huko?

  Mtoto wa Opportunist Makes whatever possible to end up there, CCM politicans are like Dipers, They both need changing regularly and for some reason they don't have abilities to foretall what is going to happen tomorrow, next week, next month or even next year.

  So, they pick each other like you and January etc ... that's the end of our loving Party and country
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sijui USA kuna watu walishikishwa ukuta?

  Halafu mnapiga makelele eti Tanzania hatutaki USHOGA wakati Ngosha wa Mwanza walitishiwa kupandishwa ukutani.

  Na hapo kumbuka Nchemba na mtani wangu Nnape walishajiandaa. Ole wako ungelifikiri wanatania.

  Mie naona ushoga Tanzania uruhusiwe tu maana tunajifanya hatutaki ila usiku wanaume wanashikishwa kuta na vidume vya nguvu.
   
 17. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ningeshauri uje na analysis ya kuonyesha viongozi wa nchi hii ni wangapi kisha uainishe ambao ni watoto wa wakubwa ni wangapi na ambao siyo ni wangapi

  watoto wa wakubwa wana nafasi pia kama wao ya kuongoza labda kama unadata za kuonyesha wamewekwa bila utaratibu.
  wewe kama si mtoto wa mkubwa na kuna nafasi ulinyimwa kwa sababu si mtoto wa mkubwa basi ingekuwa ni kianzio cha majadiliano na mbona kuna viongozi wengi tu wamejipenyeza na wana madaraka na si watoto wa wakubwa? Jamani hapa JF tunaweza kujadili mambo mengi ya maendeleo lakini tukishinda tunapigana majungu tu hatutafika popote.
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeeeeeeeehhh........................kila la keri katika uongozi wako
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Angalia Majibu yako very arrogant; haujali Wananchi unajali Mwelekeo wako sidhani utapenda kuongea na wapinzani wako wewe ni kama Chombo cha kutumikia bendera inayopepea bila maafa; Angalia Mtoto wa Mwinyi Waziri wa Ulinzi a Doctor by Profession kwanini awe waziri wa ulinzi? Mnapeana Maeneo Nyeti kuziba wanaoweza kuendesha Maeneo hayo?
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Mbona unaongea kama Nape mkuu?

  Napenda maoni yako sometime,lakini sometime mhn!

  Yani ushoga uruhisiwe kwasababu gani?

  Wisdom is a virtue.
   
Loading...