In english | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In english

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by cc_africa, Jun 1, 2010.

 1. c

  cc_africa Senior Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali zenu wakuu. UKITAKA KUMUULIZA MAMA YAKO MI NIWANGAPI KUZALIWA? KWA KiNGEREZA(OR IN ENGLISH) UTASEMAJE?
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,884
  Likes Received: 20,962
  Trophy Points: 280
  hivi inakuwaje hadi unamuuliza MAMA YAKO wewe ni wa ngapi kuzaliwa?
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Acha kuumiza akili yako kwa kutaka kujua zaidi lugha za watu si umeona ilivyorahisi kwa kiswahili? Tuipende na kuidumisha lugha yetu tukufu ya kiswahili. Hii inanikumbusha wakati fulani rafiki yangu Obinwa alijitambulisha kwa mzungu mmoja basi yule mzungu akamwambia "don't you have a christian name like Paul, James because your name is too difficult to pronounce?" Basi jamaa wa yule akamjibu "you know it took me so many years to be able to pronounce English names such as Paul, so you better start learning to pronounce my name properly
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Stupid question. Ni wangapi kuzaliwa duniani, Tanzania au kwa mama yako? Hivi mama yako amezaa halaiki kiasi cha wewe kushindwa kuhesabu ndugu zako mpaka umuulize mama yako?
   
 5. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  this is wat i like about JF..... yaaani mtu katoka huko na moshi wake sijui wa bangi aliovuta mwaka gani ndio unaishi ishia anakuja na maswali ya "HAYA MAVI YA KUKU KANYA NANI" ... na kwa kuwa hapa wako GREITI THINKAS" majibu waliyompa starehe tuuuupu.... naona kaka ss utajua kuwa uko mahali ambako ppl they dont intateini makunyanzi. hakyannai hili swali la huyu jamaa limeniacha hoi....hata MR bEaN hawezi kuuliza maswali kama hayo
   
 6. J

  JituParaTupu Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani wakuu ...si ajibiwe tu! Hapa ni pa kujifunza mambo mengi yakiwemo haya madogo na pia makubwa.
   
 7. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwani mama yake ni Mwingereza? si ajabu mamake hata hicho kiingereza hakijui!
   
 8. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mimi nawapenda watu wenye hekima, wakiuliza suali kama hawajui wanaanza kumtoa kasoro muulizaji, kama hujui mimi nashauri kaa kimya
   
 9. c

  cc_africa Senior Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu m2 akiuliza swali na nyinyi namuliza, sasa nani atajibu hlo swali!! Ni simple 2 kwanini uumize kichwa. Kumjibu 2.au umuongelee maneno ya kashfa!!
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Baada ya kumtukana muulizaji, mjibuni basi ninyi mnaojua Ung'eng'e! Mwuliza njia zi mjinga jamani.
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,274
  Trophy Points: 280
  Swali halijibu swali
  ila naomba dahili
  mama yako mswahili
  ama wataka kejeli!??
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  "How many younger (full) siblings do I have?" nadhani ndo itakaribia zaidi.
  Full siblings ni brothers and sisters ambao mmezaliwa kwa baba na mama mmoja, so kama kuna complication hiyo unaweza ukaongeza full kuwa more specific.
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutoa mwongozo. Lakini naona kama ukiuliza jinsi ulivyopendekeza utapata jibu tofauti na mtoa mada anachotaka.

  Kwa kufuata muongozo wako labda ingekuwa hivi "How many older/elder (full) siblings do I have?" Jibu litakalopatikana, muulizaji ataongeza moja ili kujua yeye ni wa ngapi kuzaliwa (i.e. If you have three elder siblings, it means you are fourth in the line).
   
 14. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  What is my ordinal position in our family?
   
 15. L

  Lady JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahahahahhaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa1 lol! Utafikiri ni friday leo!
   
 16. T

  TWANJUGUNA Member

  #16
  Jun 6, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mother's birth order:......
   
 17. Kipala

  Kipala JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 3,537
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nadhani inategemea anachotaka kujua si wazi)

  Ama (akitaka kujua kuhusu mama mwenyewe): How many older and younger siblings do you have, mother?

  AU (akitaka kujua juu yeye yake mwenyewe): How many older siblings do I have ?
   
 18. c

  cc_africa Senior Member

  #18
  Jun 9, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nimefahamu. Ila nimeuliza co kwa vibaya, kama baadhi ya watu wengine walivyodhani. Mi nimeulizwa, na nikaamua kuwalizia wenzangu wenye elimu zaidi yangu.
   
 19. M

  Msavila JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Just ask her if you are the eldest of her children. Mom " Am I your eldest child?" jibu atakalokupa litaweza kujulisha u wangapi kuzaliwa
   
 20. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,274
  Trophy Points: 280
  Na kwa nini umuulize mama yako hivyo? kwani ana watoto wa nje? ama hamuishi nyumba moja? au wewe ni zezeta hujui kuhesabu?
  ama kila mzazi ana watoto wake-wa baba na w mama?
   
Loading...