In Case of Emergency


D

Darwin

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
908
Likes
9
Points
35
D

Darwin

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
908 9 35
ICE or In Case of Emergency.

Umeiweka kwenye phonebook yako?

Kwa walio Europe, USA, ASIA, na hata Dar.

Watu wa Ambulance huwa wakati mwingine wanawakuta wagonjwa ambao walipata ajali na hawajitambui, wengi wa wagonjwa huwa wana mobile phone kwenye mifuko yao. Hata hivyo sio rahisi kwa wafanyakazi wa Ambulance kupekua majina yote uliyoweka kwenye simu yako nakumpata mtu wa karibu yako kumfahamisha. Baba, mama, kipenzi nk inakua vigumu kutambulikana kwenye phonebook.

ICE ndio itakua rahisi kuwasilisha habari mapema kwa jamaa kama umeihifadhi kwenye simu yako.
Utachagua mtu muhimu kwako kujua mapema kama umepata ajali na hujitambui ili afahamishwe.
Kinachofuata kwenye ICE unaweka namba ya mtu unayetaka afahamishwe.

Unaweza kuweka hata watu wanne na kama jina ICE1, ICE2, ICE3, nakuendelea.
Hii itasaidia haraka kama police, doctors, na wengine kuwaatarifu wana ndugu haraka.
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,000