'In an Open relationship'

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,725
Wewe ambaye unafikiri being in an open relatioship ni kuwa na mpenzi mmoja uliyemtambulisha na anajulikana kwenu na mashoga zako uko wrong.

Maana yake ni Kuwa na mahusiano na mtu wako ambaye either mmefunga ndoa au ni wachumba sugu... Ilaa wote mmekubaliana kuwa na wapenzi wa pembeni. Yani kama ni mke unakubali mme agegede nje na kama ni mme unakubali mke agegedwe nje.

Haya mjue hilo.. na mrekebishe .

NAJUA HAMJANIULIZA.
 
Naendelea......

Kipi bora... Mkubaliane kuwa In an open relationship ...
Au Single partner lakin michepuko 10.

Thread OPEN.
 
Wewe ambaye unafikiri being in an open relatioship ni kuwa na mpenzi mmoja uliyemtambulisha na anajulikana kwenu na mashoga zako uko wrong.

Maana yake ni Kuwa na mahusiano na mtu wako ambaye either mmefunga ndoa au ni wachumba sugu... Ilaa wote mmekubaliana kuwa na wapenzi wa pembeni. Yani kama ni mke unakubali mme agegede nje na kama ni mme unakubali mke agegedwe nje.

Haya mjue hilo.. na mrekebishe .

NAJUA HAMJANIULIZA.
So what??
 
Back
Top Bottom