In A-Town.....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Any Mwana JF in A-Town plz??!...Kirafiki zaidi! ...:A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
teh teh teh naogopa wafu wakiamka watanikata stimu . Lol

Umenikumbusha ile iliyotokea pale kinondoni container
Jamaa wakachukua magongo marefu
Ilipofika mida ya saa 3 na nusu hivi kila mtu kakolea kinywaji jamaa wakaibuka na nyimbo zao
"siye twasota nyie Mwala" X 30
Aisee kila mtu aliijua njia zake na hakuna hata mmoja alikumbuka kuondoka na gari ni mbio za kufa mtu wakiamini wafu wamewafufukia
 
Leo w/end nadhani atakuwa kiwanja cha bugaloo mida ya jioni
nishapata taariha ya kiota hicho...nasikia mbuzi wa pale baaaaaab K.... nitavinjari pale!!Ngoja nitumikie Wadanganyika....OOP..Watanzania!!:smile-big:
 
alafu umenikumbusha kwa tomito pale kuna yule mnama haramu wa ukweli . teh teh teh nimekugongea thanx.
Weh...Hakuna haramu..:nono:. yule ni mbuzi mkubwa.... Nitakuwa siajitendea haki nikipita bila kupata hiyo kitu..!!
 
Back
Top Bottom