Impact kwa kiswahili?

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,580
5,371
Nataka kusema: making a positive impact au impacting positively. NAsemaje kwa kiswahili? Natanguliza asante
 
How did this make a positive impact on your health? nasema ni namna gani tukio hili lilisababisha matokeo chanya kwa afya yako? ni sawa hapo?

Ni sawa kabisa. Kumbuka tu kuwa hakuna namna moja ya kuuliza swali kama hilo. Kuna namna mbalimbali ambazo zote ni sawa za jinsi ya kuunda swali la namna hiyo.
 
Nafikiri impact ni kama effect tu, inaweza kuwa hasi au chanya, sijui kama kiswahili chake ni athari au vipi.
 
Ni form ya survey natoa kwa kingereza naweka kwa kiswahili. Nahitaji accuracy kwa kiasi fulani ila effect, au impact yote bado ni sawa kwa purpose of the research nadhani. Asanteni sana kwa mchango
 
Athari chanya au matokeo chanya. Ila sasa hicho kiswahili cha chanya na hasi ujue unaweza ukakosa data hivi hivi unajiona maana nao pia utakuwa ni msamiati mpyaaaaaaaaaaaa kama hiyo survey inaenda kwa 'lay men' wa kule ambako wao hawajui chama kignine zaidi ya magamba tu!
 
Nataka kusema: making a positive impact au impacting positively. NAsemaje kwa kiswahili? Natanguliza asante
Tafsiri ulizopewa na wachangiaji wengine ni sahihi isipokuwa tu ni za kikamusi zaidi.

Tfasiri hiyo inaweza kuwa,labda "Kutoa matokeo yaliyotarajiwa" ama yenye manufaa.Kwa sababu hiyo positiveness yaweza kuwa anything.

Na pia one positive thing to one person doesnt neccesarily mean the same thing to another.

Kwa mfano kwa wale waasi wa Libya,NATO wali make a "positive impact" base on their mission.
However machoni pa wengine,hilo halikuwa positive.

Kwahiyo kifupi unaweza kuona kuwa positive results ni matokeo yaliyotarajiwa.So therefore a positive impact can be kutoa matokeo yaliyotarajiwa.
 
Asante. You know where I wanted to use this...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom