How did this make a positive impact on your health? nasema ni namna gani tukio hili lilisababisha matokeo chanya kwa afya yako? ni sawa hapo?
Tafsiri ulizopewa na wachangiaji wengine ni sahihi isipokuwa tu ni za kikamusi zaidi.Nataka kusema: making a positive impact au impacting positively. NAsemaje kwa kiswahili? Natanguliza asante
Asante. You know where I wanted to use this...Tafsiri ulizopewa na wachangiaji wengine ni sahihi isipokuwa tu ni za kikamusi zaidi.
Tfasiri hiyo inaweza kuwa,labda "Kutoa matokeo yaliyotarajiwa" ama yenye manufaa.Kwa sababu hiyo positiveness yaweza kuwa anything.
Na pia one positive thing to one person doesnt neccesarily mean the same thing to another.
Kwa mfano kwa wale waasi wa Libya,NATO wali make a "positive impact" base on their mission.
However machoni pa wengine,hilo halikuwa positive.
Kwahiyo kifupi unaweza kuona kuwa positive results ni matokeo yaliyotarajiwa.So therefore a positive impact can be kutoa matokeo yaliyotarajiwa.