IMFIKIE RAISI MAGUFULI


Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
3,893
Likes
3,081
Points
280
Age
48
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
3,893 3,081 280
Haya
 
JoJiPoJi

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Messages
2,672
Likes
2,020
Points
280
JoJiPoJi

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2009
2,672 2,020 280
Sio kila tatizo atatue Rais wa nchi.

Barabara kuwa na madimbwi lipo ndani ya uwezo wa mbunge, Mwijage na viwanda kama kuna Mashaka Takukuru wapo wanaweza kumaliza hilo tatizo tena kwa haraka.

Kuhusu uwanja wa mkutano Itifaki imezingatiwa, na haiwezekani wafanyakazi wote muamue Rais atafanya wapi mkutano.

Tuwatumie wasaidizi wa Rais katikA kutatua kero zetu.
 
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,495
Likes
2,423
Points
280
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,495 2,423 280
Wenzako hupenya mbele alipo mheshimiwa na kutoa kero na zinatatuliwa hata kwa lazima lakini wewe waja JF huoni kama unachengana na mheshimiwa ambaye tayari yuko Kagera?
 
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
3,463
Likes
4,089
Points
280
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
3,463 4,089 280
Mange anasema Magu fool unatumia vidonge ni kweli?.mama Janeth njoo
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,650
Likes
103,588
Points
280
Age
30
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,650 103,588 280
Mie bado nayahitaji meno yangu jamani..
Napita tuu
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,533
Likes
7,401
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,533 7,401 280
Sio kila tatizo atatue Rais wa nchi.

Barabara kuwa na madimbwi lipo ndani ya uwezo wa mbunge, Mwijage na viwanda kama kuna Mashaka Takukuru wapo wanaweza kumaliza hilo tatizo tena kwa haraka.

Kuhusu uwanja wa mkutano Itifaki imezingatiwa, na haiwezekani wafanyakazi wote muamue Rais atafanya wapi mkutano.

Tuwatumie wasaidizi wa Rais katikA kutatua kero zetu.
Hujui unachokiongea, kwa sasa hii nchi kila kitu raisi, na ndio maana watu wanampelekea kila kitu, we kama watu wamewekewa X na hao unaosema wasaidizi wake, yeye Rais anasema wasibomolewe kisa wamempa kura nyingi
 

Forum statistics

Threads 1,235,535
Members 474,641
Posts 29,225,919