IMF yamhakikishia Rais Samia itasaidia mapambano dhidi ya Covid 19 na kuhuisha sekta zilizodororeshwa na Corona ikiwemo Utalii.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,788
141,682
Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona.

Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii.

Chanzo: ITV habari
 
Ni kweli nchi imeathirika na madhara ya Covid but hizo pesa ni za mkopo au msaada? Tuanzie hapo kwanza
 
Magufuli alikuwa anaogopa sana kukutana na wajumbe wa mashirika ya kimataifa kama IMF na World Bank
 
Watatoa misaada michache ila kiasi kikubwa zaidi ya Trilioni moja watatoa mkopo wa masharti nafuu wenye grace period ya miaka 10 na riba ya 0%.
 
Back
Top Bottom