#COVID19 IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania

Tanzania negotiating with IMF for $571 million Covid-19 loan

Thursday June 10 2021

Tanzania’s Finance Minister Mwigulu Nchemba has said that they have entered negotiations with the International Monetary Fund (IMF) for the provision of a $571 million Rapid Credit Facility (RCF) loan.



[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][https://www-thecitizen-co-tz][https://www-thecitizen-co-tz]

By Bethsheba Wambura

More by this Author

IN SUMMARY

Advertisement

Dodoma. Tanzania’s Finance Minister Mwigulu Nchemba has said that they have entered negotiations with the International Monetary Fund (IMF) for the provision of a $571 million Rapid Credit Facility (RCF) loan.

The loan, according to Mwigulu Nchemba, is a concessional one to address the economic and social impact of Covid.

“President Samia met Ms Kristalina Georgieva - Executive Director of the International Monetary Fund (IMF) with a view to strengthening relations on economic and social issues including the issue of strategies to address the impact of Covid 19,” he said.

According to him Tanzania just like any other country in the world has been affected economically and socially due to the outbreak of Covid 19 especially in key sectors including health, tourism, trade, transportation, arts and entertainment.

He said the pandemic has led to a drop in revenue from exports of services, foreign exchange reserves, and a sharp decline in economic growth.

The Minister of Finance and Planning, Dr. Mwigulu Nchemba was presenting in parliament the budget for the fiscal year 2021/22.

Nchemba said in furtherance of efforts to combat the effects of Covid 19 President Samia Suluhu Hassan formed a Special Committee of Experts to analyze the effects of the disease and advice on the best way to deal with and it completed its work and submitted a report on 17 May 2021.

He said the government continues to take various measures to ensure that the affected economic activities return to normal as it was before the Covid explosion.

Advertisement

MORE FROM THE CITIZEN

Chadema says not ready to meet with 'hostile' police

NEMC hits Lake Oil with Sh3.3billion fine

Government warns against exam malpractice as PSLE starts tomorrow

Police recapture two jailbreak escapees in Dar es Salaam

Twenty suspects escape after 'fooling' police officer

This page might use cookies if your analytics vendor requires them. Accept
 
Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona.

Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi Cha mkopo ambacho Tanzania imepata kwa mwezi huo na Hali ya Deni ipoje. Si busara kukaa kimya...
Watueleze, hizo fedha ni kwa matumizi gani
 
Kukopa muhimu ila mkopo huu karibu Tilioni 1 plus ni WA masharti nafuu na unalenga kukuza uchumi.

Pili utaleta nafuu unadhani kukibana mkanda ni mchezo mkuu.Binafsi nimefurahia Cha msingi tuu tuuelekeze kwenye sekta zalishi
Kama zinaleta unafuu tozo zimeletwa ili nini?
Usijitoe akili
 
Mbaya zaidi zinakopwa halafu zinakuja kupigwa na Makada wa CCM, halafu wanasema wao ni mbele kwa mbele na sisi tuisome namba.
 
Hii nchi ..yani tumekopa wastani wa trilioni 1 kila mwezi na bado tozo zimeongezwa kila sehem sasa pesa zote hizo zinaenda wapi!? Hawa maccm ni kama chuma ulete dawa ni Katiba mpya Ili tuwafurushe madarakani maana wamefeli kila sehem.mama yuko busy na maigizo
Ushamaliza maendeleo? Kwa akili zako finyu unaona ni ndio pesa hiyo ya kumaliza matatizo ya Tzn?

Huna akili hiyo pesa hata km 1000 za lami haitoshi ila kwa umbumbumbu wako unaona ni pesa nyingi sana
 
wasije tu wakajengea madaraja hizi hela za mabeberu, wazielekeze panapo stahili.
 
Daah! Mpunga mrefu huo. Basi wakatepo Bilioni mia mbili watujengee bara bara ya njia nne toka Chanika mpaka Airport- Chanika Super High way.
Tena wakatepo bilioni mia zingine kupanua bara bara ya kutoka Tegeta Nyuki mpaka Bunju B/ Boko kwa njia nne - Tegeta Super High way.
Tena wakatepo Bilioni hamsini kupanua bara bara ya kutoka Morocco mpaka njia panda ya sijui ndio panaitwa Africa sana kwa njia nne - Mwai Kibaki Super High way.
'Chenji' zilizo baki wazipeleke Mikoani au kwenye sekta nyingine.
😎😎😎
NB: Utaratibu wa kujenga bara bara hizi uwe kama ule wa Mbezi- Kibaha.
Bara bara ya zamani iachwe kati kati bila kuondolewa isipokuwa ya Mwai Kibaki kutokana na ufinyu wa eneo.
Tzn kuna sehemu zenye uhitaji mkubwa na za maana kuliko hizo habari za huko kwenu Chanika.

Hii ndio shida ya watu kuzaliwa na kukulia Dar.

Kwanza nani kakwambia hiyo ni pesa nyingi?
 
Mama akikopa shida akitoza ushuru shida akirecord filamu shida sijui mnataka afanyeje

Mbona kule Uganda serikali ililazimika mpaka kuzika majeneza tupu ili wahongwe hizo pesa
 
Mama akikopa shida akitoza ushuru shida akirecord filamu shida sijui mnataka afanyeje

Mbona kule Uganda serikali ililazimika mpaka kuzika majeneza tupu ili wahongwe hizo pesa
Wanahongwa wao sio sisi mkuu..alaf kuna jamaa hakufaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, hafai, jamaa anapenda pesa kuliko chuma ulete, huyu yeye hatosheki yaani anakamua huku na huku.
 
Back
Top Bottom