YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Myself au unataka Ni quote wazungu?
Myself au unataka Ni quote wazungu?
Sisi tunapimaje ukuaji wa chumi zetu ndugu mtaalamu?IMF kigezo.kikuu Cha kwanza wanachokitumia kupima uchumi.kukua ni kukopa pesa Mara nyingi kwao na kuzilipa kwa Wakati .Ukiwa mkopaji mzuri unayekopa Sana na kulipa Sana watakwambia uchumi wako Unakua kwa spidi ya mwewe
Kana Mtu anakula na kushiba .Uchumi wake uko Safi inabidi atembee kifua mbeleSisi tunapimaje ukuaji wa chumi zetu ndugu mtaalamu?
Wangesema tanzania ya kwanza mngeanza kuwaita wadau wa maendeleo pamoja na kuwakatikia viuno pale lumumba street.,, I only believe statistics that I doctored myself “ !
Inawezekana kabisa cc wafanyabiashara wa mipakan tunaelewa mfano zaman hela ya Uganda ilikua chini sana ila saivi Kuchange hamna faida kama zaman maana yake.sh yetu imeanza kushuka kiasi flanRecord pekee za ukuaji wa uchumi wetu tunazipata NBS hawa IMF wahuni tu na wanatumiwa na mabeberu.. Eti Uchumi wa South Sudan, Niger, Ethiopia na Uganda unakua kuliko Tanzania..
Hahaha povu,, I only believe statistics that I doctored myself “ !
IMF kigezo.kikuu Cha kwanza wanachokitumia kupima uchumi kukua ni kukopa pesa Mara nyingi kwao na kuzilipa kwa Wakati .Ukiwa mkopaji mzuri unayekopa Sana na kulipa Sana watakwambia uchumi wako Unakua kwa spidi ya mwewe
Watu wanafikiri zile bilioni za wahujumu uchumi zinakuza uchumi
Watu wanafikiri hela zinazopelekwa hazina na taasisi, mashirika na makupuni ambayo serikali ina hisa ndo kukua kwa uchumi
Kuna wanosahahu kwamba hela unapotoa kwenye mizunguko ya kila siku huwezi kuwa na uchumi unaokua
Kuna principles za uchumi usipofuata uchumi utasikia kwa wengine tu
Tunajenga miundombinu kwanza ikikamilika uchumi wetu utapaa kwa kasi ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu msitutishe
Report feki imepikwa na mabeberu kwa nia mbaya ya kuichafua serikali na ccm kimataifa.... {Alisikika MLEVi Mmoja akiongea peke yake}
Jr
Hahaha sisituliishatoka huko wao wanalazimisha.
Mwita waitara anasema " wewe kunywa BEER achana na mauchumi hayo hayakusaidii kitu"
Hapo umefarijikaaaaa Tanzania haipo!!!!
Sudan kuna wanakufa njaa Sana ila projections zinaonyesha uchumi wao utafanya poa sana.. hapo unasemaje mkuu?Kana Mtu anakula na kushiba .Uchumi wake uko Safi inabidi atembee kifua mbele
Record pekee za ukuaji wa uchumi wetu tunazipata NBS hawa IMF wahuni tu na wanatumiwa na mabeberu.. Eti Uchumi wa South Sudan, Niger, Ethiopia na Uganda unakua kuliko Tanzania..
Myself au unataka Ni quote wazungu?
Eti uchumi unakuwa! Niliwaambia watu humu, hakuna uchumi unaokuwa kwa 7% huku unapoteza 50% ya FDIs, 50% ya exports zinapeperuka kwa mwaka.
Deni la taifa ni kubwa zaidi kuliko kipindi chochote kile tangu uhuru (wachumi mtanisahihisha) na utekelezaji wa bajeti naambiwa ni chini ya 68%.
Biashara nyingi zimefungwa. Mabenki, kampuni mpaka zile za media zimepunguza wafanyakazi kwa maelfu, hakuna uchumi unaokuwa uku una-shed jobs like that! Tuendelea kuyasifu, kuyashabikia na kuyatukuza huku yakijineemesha na kuwa na matumbo makubwa, magorofa, hotel,magari ya kifahari na anasa kedekede.
Mambo haya yako wazi,huhitaji degree ya economics. Angalia maisha ya watu, angalia takwimu za ajira (za kudumu na za muda mfupi) kwa mwaka.
Kusimama majukwaani kujisifu hakuna maana kama watu wengi wanaishi kwenye umaskini hata wa kushindwa kula milo mitatu kwa siku.