Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,471
- 46,002
Mapato zaidi yanapatikana katika uchumi unaokua vizuri,
Miaka michache ni miaka mingapi?
Miaka michache ni miaka mingapi?
Tunapowaambia Rais Magufuli anasuka uchumi maana yake miaka michache ijayo tutakuwa tunajitegemea wenyewe kwenye Bajeti yetu. Kwa kuboresha vyanzo vyetu vya mapato..Kilimo .Uvuvi na ufugaji kusukwa upya.Secta ya madini tayari na sasa mbioni secta ya Utalii nayo inafanyiwa kazi..Hizi secta zote zikiwa imara zitachangia pato la Taifa kwa 100% na ile dhana ya kutembeza bakuli ambayo ndo mmezoea nyie makuadi itakuwa ndoto ndani ya Nchi hii kupitia Comrade Rais shupavu,Jasili na mwenye maamuzi magumu na zaidi mwenye ghala lililo sheheni maarifa Dr John Pombe Magufuli