IMF: Kenya kinara kwa kudaiwa zaidi, Tanzania ya mwisho

Ndo watuambie tujue kama tunaidai Tanzania au Iran au Rwanda ili tujue wanadaiwa sana ila nao wanadai deni kubwa
Hiyo ndio elimu ya Kenya tunayoambiwa ni Bora ukanda huu

Nipo nao kwenye hili jukwaa, ni kati ya watu wenye uelewa finyu sana niliowahi kukutana nao so far.
 
Japan wana 273% GDP ratio lakini mikopo yao ni kutoka katika makampuni ya ndani ya nchi.. si kama kenya.. Japan mikopo yao ni concession unlike you.. yours are Non concessional loans
A loan is a loan! Akudai baba/bibi/dada au benki its still an effing loan!!!
 
K
A loan is a loan! Akudai baba/bibi/dada au benki its still an effing loan!!!
Mkopo anaodaiwa na makampuni yako ya ndani inammnisha hizo ni pesa ambazo hata ukilipa zinabaki ndani ya nchi yako... so ww haupungukiwi kitu km serikali... kwa sabbu hizo pesa zitarud kea raia wako
 
Tony254, acha kujidhalilisha wewe ni MTU mwenye uwelewa mkubwa. Chris Kirubu akidaiwa 200%ya uchumi wake sio sawa na wewe ukidaiwa 20% ya uchumi wake, ninadhani unalijua hilo, hiyo ni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuchumi alionao wa kuweza kulipa hilo deni kutokana na Investment zake, security alizonazo, na uwezo wake wa kudhaminika. Kenya ni wewe na Japan ni Chris Kirubi.
Kweli kabisa bro Sasa hebu apply hio kwa Tanzania afu ulinganishe na Kenya uone Kama sio sawa na kulinganishwa Kirubi na wewe. Unajigunga kwa maneno yako mwenyewe 😂😂😂
 
K
Mkopo anaodaiwa na makampuni yako ya ndani inammnisha hizo ni pesa ambazo hata ukilipa zinabaki ndani ya nchi yako... so ww haupungukiwi kitu km serikali... kwa sabbu hizo pesa zitarud kea raia wako
Basi hata Tanzania tuko vizuri maana deni hilo 53 Trilioni zimo na hela za mifuko ya jamii humo nyingi tu.
 
Back
Top Bottom