IMF: Hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri (HabariLeo)

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
BODI ya Utendaji ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeeleza kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri.

Bodi hiyo imeeleza hayo baada ya kumaliza kufanya tathmini ya hali ya uchumi hapa nchini, chini ya Mradi wa miaka mitatu wa Kuwezesha Sera (PSI).

Katika taarifa yao iliyochapishwa katika tovuti, bodi ilisema kuwa ukuaji wa uchumi, ulikuwa vizuri katika nusu ya kwanza ya mwaka 2016 na hivyo kuleta matumaini ya kubaki katika ukuaji wa asilimia saba kwa mwaka huu wa fedha.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa bei za bidhaa zilishuka kufikia chini ya malengo ya asilimia tano. Hata hivyo, imetahadharisha kuwa kuna madhara ambayo yanaweza kuathiri ukuaji wa uchumi, ikiwemo msimamo mkali wa sasa juu ya sera zinazohusu uchumi mdogo.

Aidha, bodi imependekeza kuwa hali uchumi mdogo kwa sasa inapaswa kutafutiwa ufumbuzi, ikiwemo kulegeza msimamo katika sera za muda mfupi.

Hata hivyo, taarifa ya bodi hiyo inasema baada ya kupata ongezeko dogo kufikia Julai hadi Septemba, serikali ijizatiti kuongeza juhudi katika kutekeleza bajeti, na hasa katika uwekezaji wa kijamii.

Aidha imeeleza kuwa juhudi zilizofanywa na serikali katika kupambana na rushwa na ukwepaji wa kulipa kodi, zimesaidia kuweka msingi mzuri kwa kuongeza uwekezaji katika miundombinu kuanzia bajeti ya mwaka 2016/17.

Mradi wa PSI kwa kipindi kilichoishia Juni mwaka jana, umekuwa wa kuridhisha na malengo yote kufikia Septemba 2016 yalifikiwa.
Chanzo:Habarileo.

Hii hapa chini ni Press Release ya IMF Executive Board.

IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
January 9, 2017

-Most program assessment criteria and indicative targets were met, though implementation of structural measures lagged

-Recent economic performance has been strong with high growth, moderate inflation, and a narrowing of the external current account deficit

-Authorities should ease the current tight stance of macroeconomic policies and redouble reform efforts to achieve targets in the medium-term development plan

On January 9, 2017, the Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) completed the fifth review of Tanzania’s economic performance under the program supported by a three-year Policy Support Instrument (PSI). [1] The Board’s decision was taken on a lapse of time basis. [2]

In completing the review, the Board also granted waivers for the non-observance of the end-June 2016 assessment criteria on the overall fiscal deficit and the non-accumulation of domestic expenditure arrears on the grounds that the slippages were minor. The PSI for Tanzania was approved by the Board on July 16, 2014 (see Press Release No. 14/350).

Tanzania’s macroeconomic performance remains strong. Economic growth was robust during the first half of 2016 and is projected to remain at about 7 percent this fiscal year. Inflation came down below the authorities’ target of 5 percent and is expected to remain close to the target, while the external current account deficit was revised down on account of lower imports of capital goods. Nevertheless, there are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies.

Program performance was broadly satisfactory and most assessment criteria for June 2016 and all indicative targets for September 2016 were met. While progress in structural reforms identified under the program has been generally slow, the authorities have recently stepped up efforts to advance them. These include measures taken to strengthen public financial and debt management, modernize the monetary policy framework, and improve monitoring of parastatal enterprises. The authorities have committed to further reforms in these areas.

The current tight macroeconomic conditions should be addressed by loosening the short-term policy stance, in line with program targets. After recording a small fiscal surplus in July-September, the government is committed to stepping up budget implementation, particularly in public investment, including by mobilizing external financing. Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector. The Bank of Tanzania’s steps in this regard are appropriate, but will need to be fine-tuned when the planned fiscal spending materializes. The increase in international reserves recorded since the beginning of the fiscal year is a welcome step to gradually rebuild buffers.

The authorities are implementing an ambitious development and reform agenda over the medium term, as described in their recently-released second Five-Year Development Plan. The strong drive against corruption and tax evasion has led to higher fiscal revenues, which, if sustained, will provide a good foundation for the envisaged scaling up of infrastructure investment, starting with the 2016/17 budget. The Plan also envisages a significant structural transformation of the economy by nurturing human development. Full involvement of all stakeholders in policy design and implementation—including importantly the private sector—will be crucial.

[1] The PSI is an instrument of the IMF designed for countries that do not need balance of payments financial support. The PSI helps countries design effective economic programs that, once approved by the IMF's Executive Board, signal to donors, multilateral development banks, and markets the Fund's endorsement of a member's policies (see The Policy Support Instrument (PSI) ). Details on Tanzania’s PSI program are available at www.imf.org/tanzania.

[2] The Executive Board takes decisions without a meeting when it is agreed by the Board that a proposal can be considered without convening formal discussions.

IMF Communications Department

MEDIA RELATIONS

PRESS OFFICER: ANDREW KANYEGIRIRE

PHONE: +1 202 623-7100EMAIL: MEDIA@IMF.ORG
 
Ukiona chanzo habari Leo tahadhari yeyote ichukulie umakini mkubwa kuliko habari yenyewe, nukuu

"Hata hivyo, imetahadharisha kuwa kuna madhara ambayo yanaweza kuathiri ukuaji wa uchumi, ikiwemo msimamo mkali wa sasa juu ya sera zinazohusu uchumi mdogo.

Hata hivyo, taarifa ya bodi hiyo inasema baada ya kupata ongezeko dogo kufikia Julai hadi Septemba, serikali ijizatiti kuongeza juhudi katika kutekeleza bajeti, na hasa katika uwekezaji wa kijamii". Mwisho wa kunukuu, hali ni Mbaya mtaani nimejionea iringa,Dodoma ,singida, tabora, mbeya, tanga kote huko ni balaa mtaani ukijumlisha na mvua imegoma mpaka sasa sijui tunakoelekea.
 
Ukiona chanzo habari Leo tahadhari yeyote ichukulie umakini mkubwa kuliko habari yenyewe, nukuu

"Hata hivyo, imetahadharisha kuwa kuna madhara ambayo yanaweza kuathiri ukuaji wa uchumi, ikiwemo msimamo mkali wa sasa juu ya sera zinazohusu uchumi mdogo.

Aidha, bodi imependekeza kuwa hali uchumi mdogo kwa sasa inapaswa kutafutiwa ufumbuzi, ikiwemo kulegeza msimamo katika sera za muda mfupi.

Hata hivyo, taarifa ya bodi hiyo inasema baada ya kupata ongezeko dogo kufikia Julai hadi Septemba, serikali ijizatiti kuongeza juhudi katika kutekeleza bajeti, na hasa katika uwekezaji wa kijamii".
Mwisho wa kunukuu,

hali ni Mbaya mtaani nimejionea iringa,Dodoma ,singida, tabora, mbeya, tanga kote huko ni balaa mtaani ukijumlisha na mvua imegoma mpaka sasa sijui tunakoelekea.
 
BODI ya Utendaji ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeeleza kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri.

Bodi hiyo imeeleza hayo baada ya kumaliza kufanya tathmini ya hali ya uchumi hapa nchini, chini ya Mradi wa miaka mitatu wa Kuwezesha Sera (PSI).

Katika taarifa yao iliyochapishwa katika tovuti, bodi ilisema kuwa ukuaji wa uchumi, ulikuwa vizuri katika nusu ya kwanza ya mwaka 2016 na hivyo kuleta matumaini ya kubaki katika ukuaji wa asilimia saba kwa mwaka huu wa fedha.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa bei za bidhaa zilishuka kufikia chini ya malengo ya asilimia tano. Hata hivyo, imetahadharisha kuwa kuna madhara ambayo yanaweza kuathiri ukuaji wa uchumi, ikiwemo msimamo mkali wa sasa juu ya sera zinazohusu uchumi mdogo.

Aidha, bodi imependekeza kuwa hali uchumi mdogo kwa sasa inapaswa kutafutiwa ufumbuzi, ikiwemo kulegeza msimamo katika sera za muda mfupi.

Hata hivyo, taarifa ya bodi hiyo inasema baada ya kupata ongezeko dogo kufikia Julai hadi Septemba, serikali ijizatiti kuongeza juhudi katika kutekeleza bajeti, na hasa katika uwekezaji wa kijamii.

Aidha imeeleza kuwa juhudi zilizofanywa na serikali katika kupambana na rushwa na ukwepaji wa kulipa kodi, zimesaidia kuweka msingi mzuri kwa kuongeza uwekezaji katika miundombinu kuanzia bajeti ya mwaka 2016/17.

Mradi wa PSI kwa kipindi kilichoishia Juni mwaka jana, umekuwa wa kuridhisha na malengo yote kufikia Septemba 2016 yalifikiwa.
Chanzo:Habarileo.

Hii hapa chini ni Press Release ya IMF Executive Board.

IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
January 9, 2017

-Most program assessment criteria and indicative targets were met, though implementation of structural measures lagged

-Recent economic performance has been strong with high growth, moderate inflation, and a narrowing of the external current account deficit

-Authorities should ease the current tight stance of macroeconomic policies and redouble reform efforts to achieve targets in the medium-term development plan

On January 9, 2017, the Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) completed the fifth review of Tanzania’s economic performance under the program supported by a three-year Policy Support Instrument (PSI). [1] The Board’s decision was taken on a lapse of time basis. [2]

In completing the review, the Board also granted waivers for the non-observance of the end-June 2016 assessment criteria on the overall fiscal deficit and the non-accumulation of domestic expenditure arrears on the grounds that the slippages were minor. The PSI for Tanzania was approved by the Board on July 16, 2014 (see Press Release No. 14/350).

Tanzania’s macroeconomic performance remains strong. Economic growth was robust during the first half of 2016 and is projected to remain at about 7 percent this fiscal year. Inflation came down below the authorities’ target of 5 percent and is expected to remain close to the target, while the external current account deficit was revised down on account of lower imports of capital goods. Nevertheless, there are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies.

Program performance was broadly satisfactory and most assessment criteria for June 2016 and all indicative targets for September 2016 were met. While progress in structural reforms identified under the program has been generally slow, the authorities have recently stepped up efforts to advance them. These include measures taken to strengthen public financial and debt management, modernize the monetary policy framework, and improve monitoring of parastatal enterprises. The authorities have committed to further reforms in these areas.

The current tight macroeconomic conditions should be addressed by loosening the short-term policy stance, in line with program targets. After recording a small fiscal surplus in July-September, the government is committed to stepping up budget implementation, particularly in public investment, including by mobilizing external financing. Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector. The Bank of Tanzania’s steps in this regard are appropriate, but will need to be fine-tuned when the planned fiscal spending materializes. The increase in international reserves recorded since the beginning of the fiscal year is a welcome step to gradually rebuild buffers.

The authorities are implementing an ambitious development and reform agenda over the medium term, as described in their recently-released second Five-Year Development Plan. The strong drive against corruption and tax evasion has led to higher fiscal revenues, which, if sustained, will provide a good foundation for the envisaged scaling up of infrastructure investment, starting with the 2016/17 budget. The Plan also envisages a significant structural transformation of the economy by nurturing human development. Full involvement of all stakeholders in policy design and implementation—including importantly the private sector—will be crucial.

[1] The PSI is an instrument of the IMF designed for countries that do not need balance of payments financial support. The PSI helps countries design effective economic programs that, once approved by the IMF's Executive Board, signal to donors, multilateral development banks, and markets the Fund's endorsement of a member's policies (see The Policy Support Instrument (PSI) ). Details on Tanzania’s PSI program are available at www.imf.org/tanzania.

[2] The Executive Board takes decisions without a meeting when it is agreed by the Board that a proposal can be considered without convening formal discussions.

IMF Communications Department

MEDIA RELATIONS

PRESS OFFICER: ANDREW KANYEGIRIRE

PHONE: +1 202 623-7100EMAIL: MEDIA@IMF.ORG
Vigezo vyao wanapopata hizo taarifa ndiyo kuna shida,mfano leo ukisema mfumuko wa bei iko chini inategemea unaangalia nini,sukari,mafuta ya mchele hizo zinaweza zisiwe zimepanda lakini kwa makusudi ukiwacha mahindi bayo imepanda mara 2 bei,dola iko stable kwa sababu watu haagizi vitu kwakuwa hazouziki, kipato cha mtanzania ukiuliza TRA watakuambia kimekuwa kwa sababu wamebambika watu kodi na hivyo kuonyesha watu kipato kimekuwa,lakini kiukweli kupambika kodi watu kuna mwisho mficha maradhi kifo humuumbua,maduka kufungwa na bandari kuwa tupu ndiyo mwisho wake.
 
cjawahi kuona mgonjwa anambishia daktari
[HASHTAG]#waswahili[/HASHTAG] husema#mfichauchi hazai sasa sisi tunapika habari za kuitetea serikali yan tuaficha ugonjwa kiukwel imefeli vibaya kuliko awamu zote huyu jamaa maneno mengi ila ameishiwa mbinu ndotatizo la kubebwa kwwnye madaraka wakati uwezo huna tunachoona ni kuteua tu daily nothing implented up to now mikopo elimu ya juu ajira miradi ya maendeleo vyote hv holaaaaaa yamebaki maneno tu
 
Nasubiri hii habari iletwe na Jamii Forum ndio nitaielewa tehe tehe.JF kitovu wengine wanasindikiza avae.
 
BODI ya Utendaji ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeeleza kuwa hali ya uchumi wa Tanzania ni nzuri.

Bodi hiyo imeeleza hayo baada ya kumaliza kufanya tathmini ya hali ya uchumi hapa nchini, chini ya Mradi wa miaka mitatu wa Kuwezesha Sera (PSI).

Katika taarifa yao iliyochapishwa katika tovuti, bodi ilisema kuwa ukuaji wa uchumi, ulikuwa vizuri katika nusu ya kwanza ya mwaka 2016 na hivyo kuleta matumaini ya kubaki katika ukuaji wa asilimia saba kwa mwaka huu wa fedha.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa bei za bidhaa zilishuka kufikia chini ya malengo ya asilimia tano. Hata hivyo, imetahadharisha kuwa kuna madhara ambayo yanaweza kuathiri ukuaji wa uchumi, ikiwemo msimamo mkali wa sasa juu ya sera zinazohusu uchumi mdogo.

Aidha, bodi imependekeza kuwa hali uchumi mdogo kwa sasa inapaswa kutafutiwa ufumbuzi, ikiwemo kulegeza msimamo katika sera za muda mfupi.

Hata hivyo, taarifa ya bodi hiyo inasema baada ya kupata ongezeko dogo kufikia Julai hadi Septemba, serikali ijizatiti kuongeza juhudi katika kutekeleza bajeti, na hasa katika uwekezaji wa kijamii.

Aidha imeeleza kuwa juhudi zilizofanywa na serikali katika kupambana na rushwa na ukwepaji wa kulipa kodi, zimesaidia kuweka msingi mzuri kwa kuongeza uwekezaji katika miundombinu kuanzia bajeti ya mwaka 2016/17.

Mradi wa PSI kwa kipindi kilichoishia Juni mwaka jana, umekuwa wa kuridhisha na malengo yote kufikia Septemba 2016 yalifikiwa.
Chanzo:Habarileo.

Hii hapa chini ni Press Release ya IMF Executive Board.

IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
January 9, 2017

-Most program assessment criteria and indicative targets were met, though implementation of structural measures lagged

-Recent economic performance has been strong with high growth, moderate inflation, and a narrowing of the external current account deficit

-Authorities should ease the current tight stance of macroeconomic policies and redouble reform efforts to achieve targets in the medium-term development plan

On January 9, 2017, the Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) completed the fifth review of Tanzania’s economic performance under the program supported by a three-year Policy Support Instrument (PSI). [1] The Board’s decision was taken on a lapse of time basis. [2]

In completing the review, the Board also granted waivers for the non-observance of the end-June 2016 assessment criteria on the overall fiscal deficit and the non-accumulation of domestic expenditure arrears on the grounds that the slippages were minor. The PSI for Tanzania was approved by the Board on July 16, 2014 (see Press Release No. 14/350).

Tanzania’s macroeconomic performance remains strong. Economic growth was robust during the first half of 2016 and is projected to remain at about 7 percent this fiscal year. Inflation came down below the authorities’ target of 5 percent and is expected to remain close to the target, while the external current account deficit was revised down on account of lower imports of capital goods. Nevertheless, there are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies.

Program performance was broadly satisfactory and most assessment criteria for June 2016 and all indicative targets for September 2016 were met. While progress in structural reforms identified under the program has been generally slow, the authorities have recently stepped up efforts to advance them. These include measures taken to strengthen public financial and debt management, modernize the monetary policy framework, and improve monitoring of parastatal enterprises. The authorities have committed to further reforms in these areas.

The current tight macroeconomic conditions should be addressed by loosening the short-term policy stance, in line with program targets. After recording a small fiscal surplus in July-September, the government is committed to stepping up budget implementation, particularly in public investment, including by mobilizing external financing. Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector. The Bank of Tanzania’s steps in this regard are appropriate, but will need to be fine-tuned when the planned fiscal spending materializes. The increase in international reserves recorded since the beginning of the fiscal year is a welcome step to gradually rebuild buffers.

The authorities are implementing an ambitious development and reform agenda over the medium term, as described in their recently-released second Five-Year Development Plan. The strong drive against corruption and tax evasion has led to higher fiscal revenues, which, if sustained, will provide a good foundation for the envisaged scaling up of infrastructure investment, starting with the 2016/17 budget. The Plan also envisages a significant structural transformation of the economy by nurturing human development. Full involvement of all stakeholders in policy design and implementation—including importantly the private sector—will be crucial.

[1] The PSI is an instrument of the IMF designed for countries that do not need balance of payments financial support. The PSI helps countries design effective economic programs that, once approved by the IMF's Executive Board, signal to donors, multilateral development banks, and markets the Fund's endorsement of a member's policies (see The Policy Support Instrument (PSI) ). Details on Tanzania’s PSI program are available at www.imf.org/tanzania.

[2] The Executive Board takes decisions without a meeting when it is agreed by the Board that a proposal can be considered without convening formal discussions.

IMF Communications Department

MEDIA RELATIONS

PRESS OFFICER: ANDREW KANYEGIRIRE

PHONE: +1 202 623-7100EMAIL: MEDIA@IMF.ORG
Tumesikia.
Haya wote kwa pamoja tuitikie.
"Uchumi wa Tanzania ni nzuri"
"Nchi ya Tanzania imeshanyooshwa"
"Wapiga dili ndio wanaolalamika"
"Wapiga sound watuletee chakula, njaa inatukabili"

Ameeeen.

MsemajiUkweli

Wananchi wa kitaa, huku mitaani wanakoishi walalahoi, wanyonge, watumbuliwa,walipa kodi na sio hao IMF wanasemaje kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania?

Mmoja wa walalahoi amejikuta pabaya baada ya kusema haya.

Link Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

Link2. Kafulila: Rais Magufuli amesahau uchumi wa mnyonge

Nyumbu kwisha habari yao.

IMF wangesema uchumi ni mbaya nyumbu wangeshangilia sana.

Ila kwa kuwa IMF wamesema uchumi ni mzuri nyumbu wataponda sana.

Shame on you nyumbuz
Hali ya Uchumi ni mzuri lakini wananchi wako ICU. Mifuko imetoboka, biashara hazina wateja kama ambavyo mahakama ya mafisadi ilivyokosa wateja.
Hii imekaa vipi?
Wakuu wanapiga sound.
Wananchi wanalia njaa.
Hii inaamaanisha nini?
 
Tumesikia.
Haya wote kwa pamoja tuitikie.
"Uchumi wa Tanzania ni nzuri"
"Nchi ya Tanzania imeshanyooshwa"
"Wapiga dili ndio wanaolalamika"
"Wapiga sound watuletee chakula, njaa inatukabili"

Ameeeen.

MsemajiUkweli

Wananchi wa kitaa, huku mitaani wanakoishi walalahoi, wanyonge, watumbuliwa,walipa kodi na sio hao IMF wanasemaje kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania?

Mmoja wa walalahoi amejikuta pabaya baada ya kusema haya.

Link Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

Link2. Kafulila: Rais Magufuli amesahau uchumi wa mnyonge
Thankyu for this satire
 
Hii habari ukisoma kwa kiswahili unaweza kudhani mambo ni shwari kila kona kumbe kuna tatizo ambalo watu hulisema kila mara.
Taarifa inaridhishwa na ukuaji wa uchumi katika nusu ya kwanza ya mwaka na inatarajia uchumi kukua kwa asilimia 7.
Lakini inaonya juu ya mfumo wa kiuchumi unaosababisha ukosefu wa fedha kwenye mzunguko na serikali kushindwa kutekeleza mipango yake ya kibajeti.
Kwa hali ngumu ya pesa katika mzunguko, serikali inashauriwa kulegeza mfumo wake wa kiuchumi na ikakope kwenye taasisi za nje. Inatahadharishwa pia juu ya usimamizi wake kwenye biashara ndogo ndogo, kwamba ni lazima ibadilike ili biashara zistawi.
Taarifa hii haina tofauti kubwa na ile ya Waziri wa fedha kwamba biashara zinafungwa. Hii imeenda mbali zaidi na kuzungumzia ukosefu wa mikopo kwenye taasisi za fedha na kushauri benki kuu kushughulikia suala hilo.
Andiko hilo la IMF pia linaitahadharisha serikali juu ya mipango yake isiyofahamika kuhusu sekta binafsi.
 
Mchambuzi kwenye uzi wako mmoja nimesoma kitu tofauti kidogo kinachofanana na alicholeta Lambardi Mbona taarifa zinachanganya

Of course ya habari leo ni ya kudharau tu maana wanaweza kusema hakuna njaa Tanzania
 
Back
Top Bottom