#COVID19 IMF: Chanjo ni kichochea kikuu cha uchumi kukua kwa nchi zinazoendelea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeripoti kuwa chanjo ni kichochea kikuu cha kukua kwa uchumi kwa nchi zinazoendela kipindi hiki ambacho uchumi wa dunia umeathiriwa na #COVID19

Shirika hilo limekadiria uchumi wa Kenya kukua kwa 5.6% kwa mwaka 2021 kutoka 6.3% iliyokadiriwa awali

Aidha mfumuko wa bei umefikia 6% kutoka 5.2% iliyokuwa mwaka 2020. Uchumi wa Kenya umesinyaa kwa 0.3% mwaka 2020
 
Hii chanjo imekuja na mengi kasoro bahalesa🐪🐪🐪🐪.....chanjo ni kichocheo cha kupata bebezi wakali🐎🐎🐎🐎
 
Kweli mpango umekamilika mabeberu ni noma mataifa ombaomba kwenye mkopo huo hawachomoki kigezo riba nafuu and democracy etc
 
Ni kichocheo kwa kuwa wale wanaokubali kufanya raia wao panya wa majaribio wa hii teknolojia ya kubadili vinasaba iliyobandikwa jina la chanjo ndo wanapata hizi trilioni ambazo wao wanadai ni za masharti nafuu, lakini wajanja tunajua huo ni mtego.
 
Back
Top Bottom