IMEVUJA: Wabunge Wengi Wadai Bunge sio Dhaifu Bali Spika Ndiyo Yeye Dhaifu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,749
71,117
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Muungano wa chama Tawala na wale wa upinzani wamepinga kabisa dhana ya kuwa Bunge lao ni dhaifu bali wamesema kuwa dhaifu ni Spika mwenyewe.

Wamedokeza kuwa kitendo cha Spika (ikiwa ni pamoja na Jaji Mkuu) kuwa waalikwa wa kila siku kwenye shughuli za kawaida za serikali kumesababisha Spika kujiona naye kama yuko chini ya Rais kupokea maagizo yake kuja kuyatekeleza ndani ya Bunge.

Mfano agizo la "nenda kawatoe wabunge huku nje hawana kinga name nitawanyooshaa" na yeye kusimama na kupokea amri hiyo kulilidhalilisha Bunge kuliko hata mwenye kutukana.

Hata ndani ya Bunge kwa sasa mbunge yeyote (CCM au Upinzani) akionyesha kuisulubu serikali Ndugai anaonyesha wazi kukerwa utadhani yeye ni Waziri wa serikali na tumeyaona hayo hata kwa wabunge wa CCM kama Nape, Bashe nk wakitishwa. Huo ni udhaifu wa Job Ndugai mwenyewe na sio Bunge.

Hata hili la Assad wabunge hao wana hakika kuwa ni agizo kapewa Ndugai kutoka nje ya Bunge kwani kwa kawaida azimio la wito wowote wa Kamati huanzia ndani ya Bunge na jee hili ni lini liliazimiwa?

Wabunge wa CCM wanachombeza wa upinzani waandae azimio la kutokuwa na imani na Spika ili na wao wapige kura ya kumuondoa wakiwa na imani kuwa hata kama Ndugai akiondolewa lazima atakayechaguliwa atakuwa wa CCM mwenzao tuu kutokana na wingi wao, wakilianzisha wao watfukuzwa kwenye chama na kupoteza haki zao.

Jee ni kweli dhaifu ni Spika na sio Bunge?

Source: Vyombo mbalimbali vya habari na wabunge walio zuia kutokutajwa kwa sasa.
 
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Muungano wa chama Tawala na wale wa upinzani wamepinga kabisa dhana ya kuwa Bunge lao ni dhaifu bali wamesema kuwa dhaifu ni Spika mwenyewe.
Wamedokeza kuwa kitendo cha Spika (ikiwa ni pamoja na Jaji Mkuu) kuwa waalikwa wa kila siku kwenye shughuli za kawaida za serikali kumesababisha Spika kujiona naye kama yuko chini ya Rais kupokea maagizo yake kuja kuyatekeleza ndani ya Bunge.
Mfano agizo la "nenda kawatoe wabunge huku nje hawana kinga name nitawanyooshaa" na yeye kusimama na kupokea amri hiyo kulilidhalilisha Bunge kuliko hata mwenye kutukana.
Hata ndani ya Bunge kwa sasa mbunge yeyote (CCM au Upinzani) akionyesha kuisulubu serikali Ndugai anaonyesha wazi kukerwa utadhani yeye ni Waziri wa serikali na tumeyaona hayo hata kwa wabunge wa CCM kama Nape, Bashe nk wakitishwa. Huo ni udhaifu wa Job Ndugai mwenyewe na sio Bunge.
Hata hili la Assad wabunge hao wana hakika kuwa ni agizo kapewa Ndugai kutoka nje ya Bunge kwani kwa kawaida azimio la wito wowote wa Kamati huanzia ndani ya Bunge na jee hili ni lini liliazimiwa? Wabunge wa CCM wanachombeza wa upinzani waandae azimio la kutokuwa na imani na Spika ili na wao wapige kura ya kumuondoa wakiwa na imani kuwa hata kama Ndugai akiondolewa lazima atakayechaguliwa atakuwa wa CCM mwenzao tuu kutokana na wingi wao, wakilianzisha wao watfukuzwa kwenye chama na kupoteza haki zao.

Wabunge waliomchagua Spika ndio dhaifu kabisa fullstop!
 
F

Fukuza spika na naibu wake
 
Nilimuona luningani KUB akiwa nyumbani kwa Job kule Salasala!

Kumbe Luningani bwana!

Una uhakika physically ni kwake kupitia luninga?Ulishaendaga kwake ukawa na utambuzi huo?

Na jee kama Mbowe alienda kula mkewe?

We dont believe your observations,who are you for us to trust?NOBODY!

Labda Mbowe akiri mwenyewe,otherwise ni noise tu mnajenga!
 
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Muungano wa chama Tawala na wale wa upinzani wamepinga kabisa dhana ya kuwa Bunge lao ni dhaifu bali wamesema kuwa dhaifu ni Spika mwenyewe.
Wamedokeza kuwa kitendo cha Spika (ikiwa ni pamoja na Jaji Mkuu) kuwa waalikwa wa kila siku kwenye shughuli za kawaida za serikali kumesababisha Spika kujiona naye kama yuko chini ya Rais kupokea maagizo yake kuja kuyatekeleza ndani ya Bunge.
Mfano agizo la "nenda kawatoe wabunge huku nje hawana kinga name nitawanyooshaa" na yeye kusimama na kupokea amri hiyo kulilidhalilisha Bunge kuliko hata mwenye kutukana.
Hata ndani ya Bunge kwa sasa mbunge yeyote (CCM au Upinzani) akionyesha kuisulubu serikali Ndugai anaonyesha wazi kukerwa utadhani yeye ni Waziri wa serikali na tumeyaona hayo hata kwa wabunge wa CCM kama Nape, Bashe nk wakitishwa. Huo ni udhaifu wa Job Ndugai mwenyewe na sio Bunge.
Hata hili la Assad wabunge hao wana hakika kuwa ni agizo kapewa Ndugai kutoka nje ya Bunge kwani kwa kawaida azimio la wito wowote wa Kamati huanzia ndani ya Bunge na jee hili ni lini liliazimiwa? Wabunge wa CCM wanachombeza wa upinzani waandae azimio la kutokuwa na imani na Spika ili na wao wapige kura ya kumuondoa wakiwa na imani kuwa hata kama Ndugai akiondolewa lazima atakayechaguliwa atakuwa wa CCM mwenzao tuu kutokana na wingi wao, wakilianzisha wao watfukuzwa kwenye chama na kupoteza haki zao.
Jee ni kweli dhaifu ni Spika na sio Bunge?

Source: Vyombo mbalimbali vya habari na wabunge walio zuia kutokutajwa kwa sasa.
walete walete!!
 
Back
Top Bottom