imetulia hii! God bless Tz

zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,190
1,828
let us start our blue monday with thizzzz
 

Attachments

  • 11441_106414342704119_100000066625861_162338_4405242_n.jpg
    11441_106414342704119_100000066625861_162338_4405242_n.jpg
    30.5 KB · Views: 186
Dunia yetu imekwisha. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Kama mtu kaubeba mzigo wa thamani watu wataupenda tu hata wasipouona. Lakini kuanika mzigo saa zote maana yake hata mwenye mzigo ana mashaka nao, anataka kubambikiza mtu?

Leka
 
upumbafu mtupu.
Jitu linamwonyesha nani mitakotako yake hapa!..Kila mtu anayo bana, akamwonyeshee chumbani huko MAENDELEO-gesti-HOUSE
 
Haa huyo dada anatafuta soko? Ni mcheza shoo au
sipati picha hiyo style ya uvaaji kamvalia nani??
 
Mwacheni mwenzenu jamani, si mnacheki wenyewe mazingira ya picha? Ilikuwa tu mapigo ya night.
 
amejitoa thamani ya uanamke kabisa!!! angevaa vizuri watu wangeshindwa kumthaminisha??? hata kama ni usiku hiyo imepitiliza ****** yote nje namna hiyo!!! wat is that now!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom