Imetokea jana .! we ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imetokea jana .! we ungefanyaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, May 12, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160


  Kweli dunia ina changamoto, Jana familia moja imepata pigo baada ya binti wao aliyekuwa anatarajiwa kuagwa (send off) kufiwa na dada yake asubuhi (yaani dada mtu kafa asubuhi wakati jioni ni sendoff ya mdogo wake!)

  Vikatengwa vyumba viwili, kimoja cha kupokea wale waliokuja kutoa pole, na chumba cha pili kilichotengwa kikawa ni cha wamama kumfunda mtarajiwa.

  Hivi ingekupata wewe kama we ndo ;decision maker ungefanyaje?
  HIZI NI CHANGAMOTO ZA KIMAISHA!
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Ningeacha nature ideside destiny ya suala hilo so far halipo kwenye uwezo wa kibinadamu!
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kumradhi, Baba kaamua shughuri iendelee kama kawaida, yaani leo ndo msiba uanze!, sijui ikiwekwa taarabu watacheza?
   
 4. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli''Dead man tells no lies''...... aliyekufa hana chake.Si wange ipeleka mbele hiyo send off?Atleast after 50days then waendelee na shughuli.Ama muoaji atakimbia?ovyo...kabisa
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kidogo haijakaa sawa, kwanini wasiahirishe na vile vyakula vya sherehe vitumike mcban kama walikuwa wamelipia
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwenye nyekundu naona kama umejichanganya labda uniambie send off hutumika kufunda watarajiwa....
  ninavyo jua mimi send off siyo issue sana wange weza kabisa kuahilisha....
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,578
  Trophy Points: 280
  mwaya kusini sendoff ndio kparty
   
 8. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Imenisikitisha maamuzi ya kuendelea na shughuri, mi niligoma kuhudhuria.
   
 9. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Siku moja kabla kikwetu, wamama hukaa na kumfunda mtarajiwa. Hivi ninavyoongea ndo najiandaa kuelekea msibani, na sendoff imefanyika jana ila nimepata taarifa kuwa shughuri imetawaliwa na mapozi mengi, shamra shamra hazikuwepo kivile!
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tungehairisha send off. Kwanza hamu yote ingeisha.
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watu wame complicate sana maisha siku hizi yaani msichana kabla ya kuolewa ana shughuli zaidi ya moja, kuna send off, then kitchen party, sijui nini kinatangulia, swali langu ni kuwa, hivi ni lazima kufanya yote haya, isitoshe watu wanaoombwa michango ni walewale.
   
Loading...