Imethibitika kwamba mwanaume anavyozidi kunenepa uume huliwa na fat na kupungua uref | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imethibitika kwamba mwanaume anavyozidi kunenepa uume huliwa na fat na kupungua uref

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Jul 23, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Imethibitika kwamba mwanaume anavyozidi kunenepa uume huliwa na fat na kupungua urefu.
  Habari njema ni kwamba kama wewe ni mwanaume overweight (fat) au mnene kupindukia unaweza kuongeza inchi moja ya uume wako kwa kupunguza unene kwa kila pound 35.

  Kama umekuwa ni overweight kwa miaka yako yote basi hii ni kumaanisha kwamba hajawahi fikia urefu halisi wa uume wako.

  Kama ni mwanamke na mume ako anazidi kunenepeana usishangae siku unaanza kutafuta samaki wake kumbe kaliwa na fat au nyama zembe hivyo saidiana naye kuounguza fat ili abaki na size yake kama kawaida.

  Siyo utani wala kichekesho ni kweli unavyozidi kunenepa (hapa nazungumzia unene unaozidi kawaida) ndivyo unavyozidi kupunguza urefu wa uume.
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwahiyo ukipunguza weight nyama ndo zinahamia kwenye shaft ama?
   
 3. M

  Makingi George New Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dont agree with you na hiyo hoja yako.wapi umefanya hiyo research?nakushauri fanya research na utaona jinsi ukweli ulivyo.Hakuna connection kati ya unene na urefu wa hiyo kitu.
  The fact is this,urefu wa uume ni genetic inheritence,kama kwenye ukoo wenu mna mirefu basi itabaki hivyo kwa wengi wenu,likewise kwa vifupi.
  Pia soma Biologia na Geographical location za watu pia utaona tofauti ya hayo maumbile baina ya Africans,Indians,chinese,european na mataifa mengine.
  Ila its all about genetical inheritance.
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  na wewe umethibitisha?.
  hebu twambie kati ya hayo mataifa, nani ni funika bovu kwa mashine.
   
 5. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  jamani muwe mnatoa source za huko mnakokopi
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  naunga mkono hoja
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Sure!
   
 8. tzengo

  tzengo Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  heshima yako mkuu,
  hapo kwenye kuliwa na fat unaweza kuelezea maana yake au pathophysiology yake maana sijakuelewa.Na vipi kuhusu tofauti ya maumbile kutokana na geographical location inahusiana na hii kuliwa na fat?
   
 9. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna ka ukweli flan hivi kama vile ukainza kwenda kubemba vyuma(GYM)utajikuta kifua kinakuwa ****** yanakwisha...ufffss....Japo kisayansi mhh sijui....lakini unene noma kwani ukiwa mnne unaweza kujikuta samaki hata wewe mwenyewe humuoni kwa kuwa huwezi inama vyema...na pdidy kasema anazungumzia ule unene wa kupita kiasi tena nyama zembe...ambao hauna mazoezi hata ya kuoga..tu ni shida.
   
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa kifupi, mtu anavyozidi kunenepa hasa kuwa na kitambi, nyamba za tumbo huwa zinavuja nyama ya hapo gonado halafu urefu unapungua. pia mafuta mengi huwa yanakuja yanajaaa hapo kwenye kibaraza panapoota nywele kama kichwani, na urefu unaliwa na mafuta na minyamanyama. wabongo wengi wakiwa wanene, wanaona sifa, kumbe ukiona mtu ana likitambi, ujue ana shida kwelikweli.

  kwanza analala hovyohovyo, anachokachoka hovyohovyo, akifanya kazi kidogo tu anakuwa amechooka kama nguruwe aliyejaa mafuta mengi, halafu ni rahisi kuwa na shinikizo la damu na kisukari. tufanye mazoezi, tule balanced diet, sio kula rojorojo la kitimoto tuu kila wakati, kula mishikaki mimafuta imejaaaa, kazi kwelikweli, ati ndo chakula bora. ujume umefika.
   
 11. A

  Aluta Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Aug 16, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii kitu ni kweli; naongea hivyo kwa sababu nimekuwa naingia Sauna na watu mbalimbali na sharti mojawapo la Sauna lazima uvue nguo zote...na ni kweli watu wanene wengine hawana uume kabisa..maana umemezwa.

  Kwa wale wasiojua Sauna ni chumba kidogo chenye joto zaidi ya 80 centigrade.
   
Loading...