IMETHIBITIKA: Bunge lilionya kuhusu sukari, tuunge mkono lirushwe laivu

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Kamati ya bunge iliionya serikali kuhusu uhaba wa sukari,serikali haikusikia na malipo ya ushauri wa kamati ya bunge ilikuwa ni kulizuia lisirushwe laivu,serikali inafika nini? Ndio inaficha haya ya sukari na mengine mengi?tuendelee kupiga kelele bunge lirushwe laivu
 
Awamu ya 5 Haina Bunge, Presidential decrees ndio itakuwa Bunge, ndio baraza la mawaziri ndio mahakama... Nising'olewe kucha
 
NI HILI BUNGE LA WABUNGE WAPIGA DEAL AU LINGINE?????

NA BADO KILA MWEZI TUTAONA TAKUKURU IKIONDOKA NA KICHWA CHA MBUNGE MMOJA MMOJA. NAMKUMBUKA MADAME MAKINDA ALISEMA WABUNGE WANAPEWA BAHASHA NA WAFANYA BIASHARA AU VIONGOZI WA MASHIRIKA KAMA KISEMEO.

MTU ANATOA POVU KUMBE ANATUMIKIA BAHASHA.

Queen Esther

Anataka Watanzania tushuhudue akina Kubenea wakisema wake zao wamevuliwa shanga na chupi na polisi
 
Mary Nagu amefunga ndoa na WAHUJUMU UCHUMI!!.

Jiulize KWANINI WANAWEKA nguvu kubwa kuagiza SUKARI nje na sio kuweka nguvu kubwa kuongelea kuongeza uzalishaji kuanzia mashambani??? na hatimaye viwanda I.

Saga la sukari limeanza wakati wa Serikali ya awamu ya nne na kuna VIGOGO wa Serikali wamekuwa wakitajwa huko.

Ngoja tuainishe faida za kufufua viwanda vya SUKARI:-
1. Kuongeza ajira
2. Kukuza kilimo
3. Kukuza uchumi
4. Kupunguza importation
5. Kuimarisha shs kwa ku export SUKARI
6. Kuwa na viwanda vidogo vidogo ndani ya hivyo vikubwa vya SUKARI
7. Mabaki ya raw material ni mali na yanazaa ajira na viwanda vingine

HEBU TUANGALIE FAIDA YA KUAGIZA SUKARI TOKA NJE
1. Inaneemesha wachache... No more!!!

BY THE WAY!!NI WAKATI SASA WATANZANIA TUTUMIE ZAIDI ASALI. KWANZA SUKARI NI SUMU. HUKO ULAYA WAMEACHA KUNYWA SUKARI WOTE KWENYE MAHOTELI MAKUBWA NA MADOGO WANATUMIA ASALI. WANATAKA KUTUUA NA MA SUMU YAO!!! Chukua Tahadhari!!!

Queen Esther

Moyoni anajua mama alikuwa sahihi na yeye alikuwa wrong..too arrogant to admit
 
Awamu ya 5 Haina Bunge, Presidential decrees ndio itakuwa Bunge, ndio baraza la mawaziri ndio mahakama... Nising'olewe kucha

Wanaong'olewa kucha ni watu wenye akili timamu.Hakuna mtu mwenye muda wa kumng'oa kucha punguani. Ondoa hofu, kucha zako za kupakia rangi hazitaguswa
 
Kamati ya bunge iliionya serikali kuhusu uhaba wa sukari,serikali haikusikia na malipo ya ushauri wa kamati ya bunge ilikuwa ni kulizuia lisirushwe laivu,serikali inafika nini? Ndio inaficha haya ya sukari na mengine mengi?tuendelee kupiga kelele bunge lirushwe laivu
Walionya kuwa sukari itafchwa?
 
Huku Tabora asali ni ya kumwaga. Anyway ni kweli haitoshi. Ila wa Tanzania wote waliosafiri nje ya nchi watakubaliana nami, huku nje watu hawatumii sana sukari na wachina ndio kabisaaaa!! Wanakwambia ni sumu, sasa leo tunaletewa sumu ambayo ime expire na kuwa concord!!! Sasa si ndio balaa hilo. Mkiumwa mnaimarisha viwanda vyao vya dawa!!! Wake up watanzania wenzangu!!

Queen Esther

Queen Esther asali ni wachache watakua na uwezo wa kumudu kuinunua na yenyewe hata kuipata kwa sasa original ni shughuli...
 
jamani acheni kutumia nguvu nyingi kiasi hicho,daah!! tunajua hamuezi kukiri hadharani,basi agizeni sukari kimya kimya na zilizohifadhiwa tugawiwe bure km mh alivosema!!! tuambieni lini na wapi tukapange foleni sisi!
 
KWANINI WABUNGE WAMEJIKITA KTK KUAGIZA SUKARI NJE NA KUFANYA HUO NDIO MJADALA MKUU.

MBONA WAKO KIMYA KTK KUVIFUFUA VIWANDA VYA SUKARI VILIVYOKUFA, KUBORESHA KILIMO CHA MIWA nk

HAWA NI WAPIGA DEAL WA KUFA MTU!!!! WAKIONGOZWA NA UPINZANI. NGOJA TU 2020 SIO MBALI WANANCHI WALIVYO NA HASIRA MTASHANGAA WOTE MNAOTETEA MAFISADI. CLIPS ZENU ZINATUNZWA ZITATUMIKA WAKATI WA KAMPENI!!!!

Queen Esther
Kamati ya bunge iliionya serikali kuhusu uhaba wa sukari,serikali haikusikia na malipo ya ushauri wa kamati ya bunge ilikuwa ni kulizuia lisirushwe laivu,serikali inafika nini? Ndio inaficha haya ya sukari na mengine mengi?tuendelee kupiga kelele bunge lirushwe laivu
 
jamani acheni kutumia nguvu nyingi kiasi hicho,daah!! tunajua hamuezi kukiri hadharani,basi agizeni sukari kimya kimya na zilizohifadhiwa tugawiwe bure km mh alivosema!!! tuambieni lini na wapi tukapange foleni sisi!

KUZOEA VYA BURE KUTAHARIBU MUSTAKABALI WA MAISHA YAKO.

Queen Esther
 
Hakuna mahusiano Kati ya kurusha bunge hewani na kuishauri serikali. Njoo upya.
 
Mary Nagu amefunga ndoa na WAHUJUMU UCHUMI!!.

Jiulize KWANINI WANAWEKA nguvu kubwa kuagiza SUKARI nje na sio kuweka nguvu kubwa kuongelea kuongeza uzalishaji kuanzia mashambani??? na hatimaye viwanda I.

Saga la sukari limeanza wakati wa Serikali ya awamu ya nne na kuna VIGOGO wa Serikali wamekuwa wakitajwa huko.

Ngoja tuainishe faida za kufufua viwanda vya SUKARI:-
1. Kuongeza ajira
2. Kukuza kilimo
3. Kukuza uchumi
4. Kupunguza importation
5. Kuimarisha shs kwa ku export SUKARI
6. Kuwa na viwanda vidogo vidogo ndani ya hivyo vikubwa vya SUKARI
7. Mabaki ya raw material ni mali na yanazaa ajira na viwanda vingine

HEBU TUANGALIE FAIDA YA KUAGIZA SUKARI TOKA NJE
1. Inaneemesha wachache... No more!!!

BY THE WAY!!NI WAKATI SASA WATANZANIA TUTUMIE ZAIDI ASALI. KWANZA SUKARI NI SUMU. HUKO ULAYA WAMEACHA KUNYWA SUKARI WOTE KWENYE MAHOTELI MAKUBWA NA MADOGO WANATUMIA ASALI. WANATAKA KUTUUA NA MA SUMU YAO!!! Chukua Tahadhari!!!

Queen Esther
Endeleeni kujipa moyo...subirini kugaiwa sukari ya bure
 
Jamanie mimi nakuombeni mumuombe Muumba Rais atoe nafasi yakuwa msikivu na mwenye kukubali ushauri ktk baadhi ya maswala kadhaa hapa nchini. Maana maarifa unena lkn hekima na busara hujiuliza lipi lakunena!
 
Back
Top Bottom