Imeniuma sana

Umesahau kwamba ugomvi umeanzia supermarket alikokuwa ananunua vitu vya kupeleka nyumba ndogo? Kwa hiyo baada ya kumtwanga mkewe akaenda nyumba ndogo kupeleka vile vitu na kumsimulia yaliyotokea!

Huwezi kujua, pengine alishatoa ahadi kwa nyumba ndogo kwamba anamtafutia sababu mkewe waachane ili ahamie huko moja kwa moja! Ila huyo nyumba ndogo naye atakufa mdogo wazi kwa kuiba mume wa mwenzie, malipo ni hapa hapa duniani.......!!!


nastopu kwanza home kwa frnd nimcheki baby anaendeleaje then gia inayofuata ni huko hosp nicheki mambo then ndio nijue naanza kumsaguria wapi huyu mtu, labda awe ametowekea arusha.....yaani huyu mwanamke lazima nimpate wallaah,nimeshamuomba frnd wangu mmoja anafanya kazi kwenye kampuni ya cmu ili anifanyie jitihada fulani....
 
Heeeh Laaziz mbona unanishtua!! Kumbe ni Moshi, huyo Msukuma mwenzangu namuonea huruma, haiwezekani hata kazini akawa haonekani!

Usikute kakutana na nyumba ndogo ya kutokea Tanga akili zikamruka. :)Kama hata ofisini hajaonekana basi si ajabu nguo zake zimelowekwa.
Halafu kavalishwa khanga moja tu imeandika..''Hodi hodi mpenzi fungua mlango wa mapenzi''. Vitu vingine sio vya kuonja onja jamani tujihadhari!


na ndio naikaribia kufika, mie nataka kwanza nimuone huyo mwanamke alienitoa nai majogoo...hivi kumbe nawe wa huko, bac mie shemeji yako, nilijikita huko kwenu.....halafu maneno yako bwana na wewe laaziz khaa yamenichosha mwenzio, mambo ya hiliki sio? kakuta mbege imekuwa nongwa.
 
laazizi...hiyo juzi alivyomtwanga na kujiondokea ndio hajarudi hadi leo hii, na hajulikani alipo, co ofcn wala wapi...cjui katowekea wapi, moshi yenyewe ndogo anipe muda nimalizane na hosp nitamsagura soweto nzima kwa kushirikiana na mfanyakazi mwenzake huyu frnd wangu.

Wachukulie poa tu, unajua ukiwa mtu wa kujali jali sana vijimaneno neno vidogo vidogo unaweza kupata vidonda vya tumbo bila sababu! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
 
Pole zake huyo dada kwa yaliyomkuta. Huyo jamaa hana ujasiri hata kidogo. Alitakiwa tu kuondoka, kwani mkewe angefanya nini? Siku inayofuata angejua arudije nyumbani, na sio kumpiga mtu na kusababisha uharibifu wa kiasi hicho.
Mbona Wanaume wana uwezo wa kuondoka nyumbani na hawaulizwi au wanaulizwa siku ya pili,tatu,nne. Akipenda atajibu. Asipopenda ananyamaza.
Haihusiani na chungu katika ndoa, wanawake kuwa na midomo au nini. Hiyo ni tabia tu ya mtu mwenyewe. Wanawake wangekuwa na midomo kama inavyodaiwa wala ndoa zisingekuwepo hata moja. Kuna mengi tu wananyamaza. Ukiona ameuliza ujue imezidi. Hata ingekuwa uwanjani Refa angetoa kadi nyekundu.
Mara nyingi watu wanachoomba ni ustaarabu. Fanya isijulikane. Ondoka lakini si baada ya makonde, huo si ustaarabu hata kidogo.
 
Wachukulie poa tu, unajua ukiwa mtu wa kujali jali sana vijimaneno neno vidogo vidogo unaweza kupata vidonda vya tumbo bila sababu! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!


yaani laazizi niache hii ishu ipite hivi hivi? jamani nackia kulia.
 
yaani laazizi niache hii ishu ipite hivi hivi? jamani nackia kulia.

Hujanielewa laaziz, namaanisha hao ndugu wa mume! Hii ishu ya rafiki kupigwa na kupata miscarriage komaa nayo mpaka tujue mwisho wake! Yaani uwe ngangari kama mtu wa investigative journalism vile! :)
 
mkuu katoa onyo la nguu! na akome akomae kugusa vya mume akidhani vyake.

kosa lake ni kugusa simu ya mzee bila ruhusa. kwa kweli hata miye demu likirogwa likagusa simu yangu, naua mtu!!!!!!!

unajua wanawake wakiona wameolewa wanajisikiaaaaaaa, sasa tuombe Mungu atoke hospitali salama na atakuwa ameshka adabu ya mbwa mwizi

Unaonaje ukidelete hii meseji yako?angalia hapo kuna sehemu imeandikwa delete then click iclick
 
Hujanielewa laaziz, namaanisha hao ndugu wa mume! Hii ishu ya rafiki kupigwa na kupata miscarriage komaa nayo mpaka tujue mwisho wake! Yaani uwe ngangari kama mtu wa investigative journalism vile! :)



unajua ishu hapa laaziz ni kwamba akitoka hosp akiamua mwenyewe kama wayamalize au vipi nitakuwa pembeni yake kum support kwa kila hali, hiyo nitackilizia na yeye ataamuaje...bye bye wapendwa nimefurahi sana kwa ushirikiano wenu umenipa ahueni, c u guyz..

with love.
 
Ni lini wanawake tutafunguka na wanaume watawaheshimu wake zao jamani???? Eti sio ruhusa kushika simu ya mwenza wako????why?why?why???? Yani watu wanasupport alishika simu yann??? Na yeye kutoigusa siku za nyuma ndo kumempa uhuru wa lufanya ujinga wote huo!! Ndoa lazima iwe ya ammani! Uhuru kwenye mishahara, cm ni kawaida siku hizi!! Ni wanaume washamba na waliooa wanawake wa kuwakandamiza ndo wanawanyima wake zao access ya ivi vitu!!wenye zana bado kichwani kuwa mwanamke is a property!! Yeyote anaemnyima access mwenzie ya cm yake ana hidden agenda!
Kwani kama unataka kucheat aisee si ufanye jitihada?? Yani unawasiliana kwa chombo ambacho mke wako yupo hapo?? Heshima iko wapi sasa??? Kumpa uhuru mwenzio na simu yako mana ni kuongeza imani kwenye ndoa?? Guys kwann mnataka kuharalisha cm haitakiwi kuguswa?? Yani hii ni kuharalisha anything which can b done behind?? Why?? Kuna tofauti na ndoa ya mke zaid ya mmoja unajifanya unasingle wife ? Mana kucheat si halali basi ukifanya lazima utumie akili ya ziada sio kirahisi namna iyo plizz.. pole kwa uyo dada hata asingejua yangekuja mabaya zaidi uko mbele! Uyo mwanaume lazima amekuwa anammistreat siku za nyuma pia!! wanawake acheni wanaume wa namna hizi na kuacha kasumba kuwa sigusi simu!! Hizi adabu gani??? Mmelogwa?? My foot..
 
Nampa pole sana huyo mdada, lakini ajaribu kutulia na kuwa tayari kuwa maisha mapya kabisa. Achukue pia hilo kama funzo kuwa, aonapo tena au anapohisi vitu kama hivyo, asikimbilie kuonesha kuwa kuna kitu amekiona, uharaka wake ndio uliomcosti. Naamini hata hadi sasa hizo number za "my han" hazijui. Alipaswa kwenda taratibu hadi ajue huyo mtu kabisa bila mume wake kujua. Jamaa atakuwa kwa huyo han wake!

Lakini huyo dada atamsamehe tu.

___________________________________________________________________________
A true love must be a double coincidence, and never love without being loved.
 
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, ...

Babra wala si shetani ni MUNGU alitaka kumueleleza huyo bwana anayejifanya muaminifu katika ndoa yake. Unakumbuka mie nilisema juu ya zile sms nilizokuta kwenye simu ya Mr. Mimi pia sikuwa na tabia ya kugusa simu yake hata iite mara mia ila siku hiyo imagine alikuja chicha hajiwezi nikamvua nguo simu nikaziacha kwenye mfuko wa suruali nikapanda kitandani kulala- usingizi hauji, sauti within me inaniambia 'soma messages za Mr. soma , we acha ujinga soma, nakwambia leo hulali soma' dada nilikaa macho one hour najigeuza tu mwenzangu anakoroma- mwisho nikajiuliza kwa nini nikaamka na kuichukua na kuifungua na sms ya kwanza kukutana nayo ni ya huyo hawara yake .... zikafuata na nyingine nyingi.

Na siku zote alikuwa anaimba kuwa akijanikuta au kusikia namegwa na mtu nje ya ndoa ataniua kwa kuwa yeye hamegi. Nikapata pa kuanzia,

...poleni sana.

...haya ma mobile fone tangu yaingie yanaletesha kesi mpaka ndani ya shuka sasa...
Mwenzenu kuyaepuka yote hayo 'spam' msg yeyote ikiingia, husomwa na kuwa deleted hapo hapo, ...la sivyo naweka password/lock na PIN ikiwa nje ya mfuko, nisije mkosesha raha mamsapu bure.
Wkt huo, (mobile fone) yake 'naiona' kama kaa la moto!

Wanasheria wetu mnasemaje sasa hapa, huyo bwana mkubwa si anafit kufunguliwa mashtaka na Jamhuri -kesi ya kutaka kuua bila kukusudia, ama?
 
Pole Babra, na kwa rafikiyo pia, sasa sijui akitoka aliko anakuja kuomba msamaha?

atakuja ataomba msamaha na watarudiana!!! wanawake na mioyo yetu jamani!!!

Pole Babra kwa rafiki yako!!!! Namuombea apone tu, hayo mengine yatatatuliwa akiwa na afya!!!
 
.....yaani huyu mwanamke lazima nimpate wallaah,nimeshamuomba frnd wangu mmoja anafanya kazi kwenye kampuni ya cmu ili anifanyie jitihada fulani....
na ndio naikaribia kufika, mie nataka kwanza nimuone huyo mwanamke alienitoa nai majogoo....
yaani laazizi niache hii ishu ipite hivi hivi? jamani nackia kulia.

...sasa nawe taratibu basi,...
ukikurupuka na hasira uzokuwa nazo matokeo yake nawe utamdhuru huyo 'mtuhumiwa' buree upate kesi kama ya shemejio.
Uguza mgonjwa kwanza... BTW umepata hadithi toka upande mmoja, 'my hun' can be anybody...labda mama'ke je?

unajua ishu hapa laaziz ni kwamba akitoka hosp akiamua mwenyewe kama wayamalize au vipi nitakuwa pembeni yake kum support kwa kila hali, hiyo nitackilizia na yeye ataamuaje...bye bye wapendwa nimefurahi sana kwa ushirikiano wenu umenipa ahueni, c u guyz..

with love.
 
Post zako nilikuwa nasoma huku nimekunja ndita, hapa nimeishia kucheka tu....wanawake, kweli tuna shida, na mwalimu wetu ni kipofu! si ajabu baada ya kuambiwa upupu huu na bado mdada atasamehe. Akili kichwani, ndio ungekuwa mwenza wangu, huko barabarani watu wangekuwa wanatutambua kwa idadi ya nundu na makovu yetu!

hahaha.....................
nundu tena mpenzi, nundu zingekuwa za mwanzoni tu kabla hatujazoeana, baada ya kuelewana kuzoeana sie tungekuwa tunasawazishia ndani tu yanaisha, si uajua uzoeana muhimu????
 
Unaonaje ukidelete hii meseji yako?angalia hapo kuna sehemu imeandikwa delete then click iclick

hii ni one of the most useful post in this thread. imeleta mapinduzi makubwa sana hapa jamvini leo. muulize mpendwa mj1 au dina. nao walikuwa hawanielewi lakini mwishowe wamenielewa uwa ni mwanume mzuri tu kama ukinifahamu vizuri, kwa kuchombeza ndo usiseme. tatizo lenu hamfuatilii mjadala ukoje, mnarukia tu.

any way, thanks kwa kunisoma
 
......:D:D:D
ninavyojua mimi,wanaume wanaoongoza kwa kuwapenda na kuwajali wanawake ni wasukuma!....huyo muhishimiwa si msukuma!kama ni msukuma si orijino...!ni msukuma CHIPOLOPOLO!:D

Well said mkuu huyo sidhani kama ni msukuma aisee.Wasukuma hatujui kuwapiga wamama bali tunajua kuwapenda kiukweli..Huyo jamaa ni mpumbavu na mshamba wa kiwango cha juu kabisa
 
Well said mkuu huyo sidhani kama ni msukuma aisee.Wasukuma hatujui kuwapiga wamama bali tunajua kuwapenda kiukweli..Huyo jamaa ni mpumbavu na mshamba wa kiwango cha juu kabisa
...sasa je!
shemeji yangu wewe.
kuna msukuma ameoa dada yangu
 
Well said mkuu huyo sidhani kama ni msukuma aisee.Wasukuma hatujui kuwapiga wamama bali tunajua kuwapenda kiukweli..Huyo jamaa ni mpumbavu na mshamba wa kiwango cha juu kabisa

...aisee watani sasa nitazingatia vigezo kutowaozesha dada zangu huko usukumani! angalia na hii hapa;

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/42535-mtanzania-denmark-ameua-mkewe-4.html

...hii ni aibu bana. Angalau huyu shemeji wa Babra angejitokeza basi kumjulia hali mama watoto wake huko hospitalini.
 
Back
Top Bottom