Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,596
- 5,787
we mzee cjui ni shoga au bwabwa!!
vyovyote utakavyosema ila jaribu kuki apply kile unachofundishwa darasani, ionyeshe jamii kuwa we ni educated.
Uandishi wako ni mbovu, jaribu kuandika vizuri.
we mzee cjui ni shoga au bwabwa!!
jamaa linaboa sana yan,halijawah changia k2 cha maana humu jf zaidi ya kuponda 2.
wewe unanambia kama nani sasa?***** zako
kwanini ummwambia ivyo mwenzio?
yaan ulichokiona ni kuandika vbaya lakin ujumbe pia aujaupata au?
dah R.I.P sister.
you grown up br................usiseme kitu kisa fulani kasema,hata ka uandishi mbovu ujumbe si umeupata?uandishi wako mbovu. Nimeshakukanya mara nyingi. Hivi chuo si mnasoma "communication skills"! Mmefundishwa upuuzi huu.
you grown up br................usiseme kitu kisa fulani kasema,hata ka uandishi mbovu ujumbe si umeupata?
Wadau hawa loans board mwaka huu cjui vp!!leo katka pita pita zangu hapa main cumpus ya udsm,nkabahatka kukutana na dogo flani hvi ambae ni 1st year,anatokea shinyanga,kilicho nifanya nimsemeshe ni hali ambayo nimemuona nayo,yan,ana huzuni na anaonekana ni m2 ambae amekata tamaa hata ya kuishi,huyu dogo amemalza kidato cha 6 mwaka huu pale galanos sec school-tanga,na ana dvision 1.7 amechaguliwa kusoma bsc with geology hapa ud,lakn cha kushangaza kama co cha kuckitsha,eti loans board wamemuambia ni previous loanee,yan ameishaga wahi pewa mkopo na wkt ndo kamalza 4m 6 mwaka huu,katka kumdadc dogo,nkagundua ni mmoja wa vijana toka familia za kimaskin sana,kanambia amefka dar tangu ijumaa lakn tangu amefka mambo hayaelewek,ye mwenyewe mbali na nauli alyokuwa nayo alikua na laki 1 na 20 ya kufanyia regstration,hapo hajalipa cost zngne za chuo na ada maana hana bumu...hana pa kulala,wel, kwa sababu me nna rum kitaa nimeamua kumsave,atalala na atakula bt mstakabali wake wa registration ndo ngoma,as anatakiwa kulipa nusu ya ada ndo aweze kusajiliwa...jaman hvi loans board wako seriouz na kazi kweli au vp maana wa2 kama hawa ndo walitakiwa kupewa vipaumbele??
mwanaume huwa halalamiki anapopondwa, anachukua kama challenge. Wanawake ndio wanaopaniki na kutukana hovyo. Nina wasiwasi na jinsia yako. Ila badili uandishi wako ni wa kitoto.
unazidi kupambanua ujinga wako. Kwani anayepaswa kukuelimisha anapaswa aweje?. Mtu yeyote anayonafasi ya kukukosoa. Matusi si suluhisho ndg.
Hufai kupewa mkopo wa Chuo Kikuu, hata kuandika hujui. Rudi sekondari.
uandishi wako mbovu. Nimeshakukanya mara nyingi. Hivi chuo si mnasoma "communication skills"! Mmefundishwa upuuzi huu.
uandishi wako mbovu. Nimeshakukanya mara nyingi. Hivi chuo si mnasoma "communication skills"! Mmefundishwa upuuzi huu.