Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,044
- 1,999
Wadau hawa loans board mwaka huu cjui vp!!leo katka pita pita zangu hapa main cumpus ya udsm,nkabahatka kukutana na dogo flani hvi ambae ni 1st year,anatokea shinyanga,kilicho nifanya nimsemeshe ni hali ambayo nimemuona nayo,yan,ana huzuni na anaonekana ni m2 ambae amekata tamaa hata ya kuishi,huyu dogo amemalza kidato cha 6 mwaka huu pale galanos sec school-tanga,na ana dvision 1.7 amechaguliwa kusoma bsc with geology hapa ud,lakn cha kushangaza kama co cha kuckitsha,eti loans board wamemuambia ni previous loanee,yan ameishaga wahi pewa mkopo na wkt ndo kamalza 4m 6 mwaka huu,katka kumdadc dogo,nkagundua ni mmoja wa vijana toka familia za kimaskin sana,kanambia amefka dar tangu ijumaa lakn tangu amefka mambo hayaelewek,ye mwenyewe mbali na nauli alyokuwa nayo alikua na laki 1 na 20 ya kufanyia regstration,hapo hajalipa cost zngne za chuo na ada maana hana bumu...hana pa kulala,wel, kwa sababu me nna rum kitaa nimeamua kumsave,atalala na atakula bt mstakabali wake wa registration ndo ngoma,as anatakiwa kulipa nusu ya ada ndo aweze kusajiliwa...jaman hvi loans board wako seriouz na kazi kweli au vp maana wa2 kama hawa ndo walitakiwa kupewa vipaumbele??