Imenikumbusha mbali picha hii wakati nina umri wa miaka 10

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
<table style="padding-right: 10px;" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="272"><tbody><tr><td>
congo-1974.hmedium.jpg
</td></tr><tr><td>
Getty Images​
1974 October - "The Match of the Century " between the former world heavyweight boxing champion Muhammad Ali (R) and titleholder George Foreman (L). Ali won and got back his title October 30, 1974 in Kinshasa, Congo.
<hr noshade="true" size="1" color="#c0c0c0"></td></tr></tbody></table>Congo hosted the historic boxing fight known as the “Rumble in the Jungle” between world heavyweight champion George Foreman and former world champion Muhammad Ali.
 
Asante sana kwa kutukumbusha kule; enzi hizo nchi yetu ilikuwa ingali ya kijani sana tukiwa tunapata zile santuri za polydor, sabasaba, Philips na ACS kila mwisho wa mwezi. Nyumba za wafanya kazi wa serikali karibu zote zilikuwa hazikosi record player au changer. STC ilikuwa na kila kitu kinachopatikana kutokana na mshahara wa kawaida wa mfanyakzi bila kutoa au kupokea hongo.

Foreman alionyesha kuwa na nguvu sana kwenye raundi za kwanza lakini ilikuwa ni nguvu ya soda tu; kufika raundi ya nane akalamba sakafu.

<object style="height: 344px; width: 425px;">


<embed src="http://www.youtube.com/v/Gok2z-mWaeM" type="application/x-shockwave-flash" allowfullscreen="true" allowscriptaccess="always" width="425" height="344"></object>​
 
Mwaka wa mechi ya Simba na Yanga huko MWANZA.

Nilikuwa dogo sana naishi na Shangazi huko Kinondoni na kulala kwa sister kama mita 30 hivi. Kulikuwa na watu wengi hadi nikashindwa kwenda na kulala kwa shangazi.
Yanga walishangilia "Yanga, yanga..........."
Simba nao wanapita wanaimba "Nani kauwa, Manyota Ndimbwa MS**GE."
Sijui aliwafanya nini Mashabiki wa Simba.

Hivi zile khanga maarufu za Simba Bingwa, zilikuwa za mwaka angani vile?

Mie na Music hatuachani. Ngoja tuwaangalie Tabu Ley na Franco walivyotesa kwenye jukwaa lao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom