Imenikera sana hali hii

the grate

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
204
36
habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
 
Ndiyo maana huwa nasema kama demu hajaripotia kubakwa basi mwenye makosa ni demu mwenyewe.
Wanawake hawawi wakweli, hawasemi wana wapenzi wengine.
Hapo dogo naye kaingia kichwa kichwa labda hakumwuliza demu kama ana msela.
Hata hivyo dawa haikuwa kumpiga msela, kwani hapo ndiyo anazidi kumfungulia demu mlango wa kuongeza idadi ya wanaume.

pole dogo kwa kipondo!
 
Sio halali kbs kumuumiza mtu kwa ajili ya mapnz, ila huyo aliyechukuliwa demu na hao wapigaji ni wapuuzi tu,alieibiwa demu yeye ndio angedeal na huyo demu wake aliyeenda kujirahisi kwa bwana mwingine,na relation yenyewe nahisi itakuwa ya kitoto na wahusika ni watoto ndo maana wana maamuzi ya kitoto.
 
hadi wanampa kichapo dogo alikuwa analeta competition so hiyo ni fundisho madem wapo wengi sana.pole dogo jifunze kutokana na hilo tukio
 
habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
apole mnooo ila kusema ukweli hua wanawake hatusemi ukweli mara nyingi hii ni kweli mtu anakufata umempenda humwambii kua umeolewa au una mtu mkishazama sana ndio wamuibukia ujue mi nina mtu au ujue mi mke wamtu ila tutafanya siri ok
mfano yule alikua na tatoo ya i love u kevin aliificha mpaka akaolewa ndio anaonesha koz anajua ashaolewa hawezi kuachwa tena ...........
 
jamaa kazibuliwa haswa asubuhi hii nilienda kumcheki hospital japokuwa simjui yaaani amevimba uso hata macho hayaonekani vizur..inatsha
 
sio vizuri kabisa na haipendezi hao walompa kichapo,
kuanzia muhusika na wenzake hawajiamini isitoshe watakuwa na ulimbukeni fulani hivi
Wakupewa kichapo ni mwanamke na sio mwanaume,
kama demu hajatulia je? watatoa sana vichapo kwa watu wasio na hatia.
kama ndo mm naenda kupeleka taarifa polisi, nimevamiwa na wezi,
 
sio vizuri kabisa na haipendezi hao walompa kichapo,
kuanzia muhusika na wenzake hawajiamini isitoshe watakuwa na ulimbukeni fulani hivi
Wakupewa kichapo ni mwanamke na sio mwanaume
,
kama demu hajatulia je? watatoa sana vichapo kwa watu wasio na hatia.
kama ndo mm naenda kupeleka taarifa polisi, nimevamiwa na wezi,

in red, umenena wangu...
unatakiwa umalizane na m2 wako, kama mdada hajatulia utapiga/utapigana na wangapi??
hawakumtendea haki dogo, na bahati yao walikuta dogo ni mnyonge...
jamaa alitakiwa ajiweke pembeni kuepusha msongamano, vinginevyo atakuja kutana na wajanja watamfanya mbaya kutokana na tabia yake ya kuparamia wenzake...
 
dawa na yeye awalie taiming hao washikaji awape kibano , mwanaume kukomaa tu kwani imeandikwa kuwa huyo dem ni wa mtu fulani? swala ni ujanja wa kumpata dem.
 
mkitakwa tu mnakubali? (eti demu alimfata akamtaka wawe wapenzi!!!.....)
Na nyie vingine viwapitage bhee!! Aaah....
 
in red, umenena wangu...
unatakiwa umalizane na m2 wako, kama mdada hajatulia utapiga/utapigana na wangapi??
hawakumtendea haki dogo, na bahati yao walikuta dogo ni mnyonge...
jamaa alitakiwa ajiweke pembeni kuepusha msongamano, vinginevyo atakuja kutana na wajanja watamfanya mbaya kutokana na tabia yake ya kuparamia wenzake...

Umeona eeh.......huo ndo mpango mzima halafu siajabu utashangaa jamaa analazimisha penzi,

mtu wa hivyo ujue kisha bwagwa hivo anatumia ubabe,
 
jamaa kazibuliwa haswa asubuhi hii nilienda kumcheki hospital japokuwa simjui yaaani amevimba uso hata macho hayaonekani vizur..inatsha

ashukuru mungu wamempiga!! Angeliwa robo shilingi yake ........
 
habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
Hujapenda ndugu yangu, hata kutoa roho ya mtu unaweza
 
Sio halali kbs kumuumiza mtu kwa ajili ya mapnz, ila huyo aliyechukuliwa demu na hao wapigaji ni wapuuzi tu,alieibiwa demu yeye ndio angedeal na huyo demu wake aliyeenda kujirahisi kwa bwana mwingine,na relation yenyewe nahisi itakuwa ya kitoto na wahusika ni watoto ndo maana wana maamuzi ya kitoto.
nimekukubali dada
 
hivi wanaume tumekua wapumbavu kiasi cha kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya demu..
 
Back
Top Bottom