Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

hivi vitoto vikibalehe vinakimbilia kuoa ni tabu tupu yaani kinamaliza 4 kinaenda kufanya ujenzi au kinakamata bodaboda vijisent vikianza kumkubali vinapangisha vinaoa unakuta ana miak 20 ndio anakuja kuleta maswali ya kipuuzi huku. Sasa mimi nakwambia huyo demu anakupenda sana apo alikua anakupima na wew kama unampenda swaini kabisa
 
Haha unaibiwa wewe
Aisee ingekua ni mm asingekua na meno ya mbele hadi mda huu

Watu kama nyinyi ndo mnaanya sisi wanaume wa dar tudharaulike

Huyo jamaa anakuibia mke wako na ww unaonekana tu boya
 
hahaaaaa wanaume wameisha aiseee"" yaelekea huna nguvu za kiume nenda Gym kapige tizi ili uziongeze"" jinga kabisaaa
Huyu jamaa naona anatudhalilisha sisi wanaume....

Kwanza kosa kubwa ni kumwamini mwanamke ambaye umemuokota mtandaoni....

Yaani kufikia muda huo angekuwa MOI amefungwa mwili mzima na plastar of paris....

Shenzi kabisa huyo Harlot .....
 
Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno
Akikosa inabidi nimwombe msamaha

Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake kazingua. Nikaamua kumnyang'anya na kuisoma. Amenimind noma

Nafanyaje sasa. Kwani hataki hatakuongea na Mimi. Nimemkomalia anieleze, Anasema hakuwa na nia mbaya Bali alikuwa anajifurahisha kuchati kimapenzi na mwanaume huyo

Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!? Kama ni kweli kwanini anizuie kuona simu yake?

Naombeni ushauri kwani tumelala mzungu wanne sasahivi
Ukiona manyoya jua kashaliwa. Hata hlo unahtaja ushaur mkuu. Mrudshe huku ulkomtoa. Utafute mwngne.
 
Ameshakuona we mjinga umeshindwa kujiamini na kusimama kama mwanaume, usimpende sn mwanamke mpaka akuone huwez kufanya chochote kwake...... Mzingue kuwa tayar hata kuachana naye mpaka akuheshimu, huwez kuishi na mwanamke kwa kumbembeleza mda wote
 
Fanya hivi
IMG-20180511-WA0055.jpg
 
"Hivi inawezekana ni kweli anachosema?':rolleyes:o_O

Hili ni aina ya swali la mtu aliyekata tamaa. Wewe si ajabu mkeo huwa anakudunda na kukunyima tunda kila unapojaribu kumkanya. Muombe sana Mungu wako kamanda, na kila la kheri.
 
Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno
Akikosa inabidi nimwombe msamaha

Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake kazingua. Nikaamua kumnyang'anya na kuisoma. Amenimind noma

Nafanyaje sasa. Kwani hataki hatakuongea na Mimi. Nimemkomalia anieleze, Anasema hakuwa na nia mbaya Bali alikuwa anajifurahisha kuchati kimapenzi na mwanaume huyo

Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!? Kama ni kweli kwanini anizuie kuona simu yake?

Naombeni ushauri kwani tumelala mzungu wanne sasahivi
Sasa hapo bado ww unataka tochi ujue nini kinaendelea kweli.
 
It seems wewe ndio umekolea sana kwake,.
Na Je ni mke kabisa au girlfriend?,
Maana Kama ni mke nadhan ungeshajua cha kufanya maana ni mke wako halali wa ndoa...
Au na hili pia anataka ww umuombe msamaha, maana ushamzoesha...
 
Huyu jamaa naona anatudhalilisha sisi wanaume....

Kwanza kosa kubwa ni kumwamini mwanamke ambaye umemuokota mtandaoni....

Yaani kufikia muda huo angekuwa MOI amefungwa mwili mzima na plastar of paris....

Shenzi kabisa huyo Harlot .....
huyu Jamaa KAvurugwa aisee...eti bila haya kabisa anakuja kuuliza huku kama alivhoambiwa na mkewe kina ukweli "" wakati kazifumania text kabisaa"" wakichat habari za matusi ""
 
Back
Top Bottom