Imenifurahisha hii lakini sijaielewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Easymutant, Oct 20, 2010.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,539
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  View attachment 15550 mwenye kuweza kunielewesha kuhusu hii picha anisaidie plz maana mie nimeshindwa kuelewa mshikaji yupo upande upi...
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  May be, Jamaa hamna nguvu za kubadili, ndio hiyo ya ccm ya kutokea lakini mapenzi yake kwa chadema.
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 3,996
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kofia, kanga, fulana chukueni. Lakini kura Chadema!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Angalia walio nyuma yake ndio ujue
   
 5. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shingoni amevaa nini ziko mbili au jamaa hajielewi anataka nini? Uzuri ni kwamba kabeba picha ya Mbunge wangu mtarajiwa. Mi nachagua mtu bwana sichagui CHAMA ati.

  [​IMG]
   
 6. minda

  minda JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,069
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ukiangalia hapo utaona ni mkutano wa wanachadema. ni wazi huyo jamaa atakuwa wa chadema vinginevyo kingempata yule dada wa mpanda mjini kwa bw arfi.

  [​IMG]
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,756
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hapo madai yake kura ya Mbunge ni kwa Mnyika na Urais Kinaniii kinani vilee? nshasahau
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  mwenzenu yupo kazini hapo.
  anazuga tu kuusoma upepo na kuwapima chadema kama ni wastaarab. Kumbe wenzake wanamwona ni ****.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Confusing really
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  watu wana mambo nashindwa kuelewa ana maana gani huyu 31-10 ndo mwamuzi
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,043
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huyu ni chadema damu,lkn hizi nguo si ni bure jamani?so kavaa tu mm yangu mbn ninalalia?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Jamaa haeleweki kabisa!!!
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tshirt na kofia halali yake inatokana na jasho lake kama mlipa kodi!
   
 14. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwamba vingine vyote ni rahisi kuvichukua ila tshirt yake ya ccm sio rahis patachimbika sana
   
 15. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo ni mshabiki tu
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,393
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  Yangu inatumika kwa kupigia deki tu ******
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Inaitwa Kachumbari hiyooooooooooo, wao wanagawa nguo sisi zetu sera
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,393
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  Yangu inatumika kupigia deki c.h.ooni
   
 19. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona ana IDs 2 shingoni-meaning?
  Simsemehi huyu ndg ila niliwahi kumuona wa hivyo ila alikuwa na kofia yenye picha ya mgombea urais wa CCM na ameshika bango la Mbunge wa chama cha upinzani,nilipomuulzai akasema, yeye kura yake ya Ubunge anampa mbunge wa chama cha upinzani lakini ya uraisi anampa Kikwete-nikamuona huyu ndie mwana demorasia wa ukweli na anaijua.
   
 20. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Ni kweli t shiry na kofia ni jasho lake ila kura yake ni kwa Mnyika na DR SLAA.
   
Loading...