cacashian01
Member
- Mar 3, 2016
- 76
- 62
Inakuwaje wakala wa walio pewa Tenda na serikali wanafanya kazi mpaka usiku kukamata magari usiku na mchana!!
Nimeuliza ili nipate kupewa ufafanuzi wa utaratibu umekaaje?kwa nini isiwe miaka yate hiyo ila iwe sasa?Kwani mwisho wa kuvunja sheria ni saa ngapi hapa Tz?
Kazi iendeleeee mkuu.Nimeuliza ili nipate kupewa ufafanuzi wa utaratibu umekaaje?kwa nini isiwe miaka yate hiyo ila iwe sasa?
Saa 12:30 hivi jioni mzee.Kwani mwisho wa kuvunja sheria ni saa ngapi hapa Tz?
Sawa mzee baba.Saa 12:30 hivi jioni mzee.
Kuna siku nilikuta trafiki kwenye videk flani anasema sahivi wana tochi za kisasa zinanasa over speed hadi usiku. Sijui waliishia wapi.?Sawa mzee baba.
Daah ngoja nimshtue huyu mdau Holy Man yeye ndiye mzee wa usiku kwa usiku labd ameshakutana nazo mkuu.Kuna siku nilikuta trafiki kwenye videk flani anasema sahivi wana tochi za kisasa zinanasa over speed hadi usiku. Sijui waliishia wapi.?
huo mchezo upo mlandizi, kuna trafic anakuwa mwanzo anacheki chombo ambayo ipo speed sana, anatoa taarifa mbele, wanategesha sehemu yenye mwanga (moja ya sehemu yenye mwanga ) nahisi njaa zao ambazo Mama Samia amewachomoloea.. ni kama genge flani tu, trafic saa nane za usiku ubatafuta nini 😂😂😂Daah ngoja nimshtue huyu mdau Holy Man yeye ndiye mzee wa usiku kwa usiku labd ameshakutana nazo mkuu.