Imekuwaje hawa jamaa wa wrong parking wanakamata mpaka usiku?

cacashian01

Member
Mar 3, 2016
76
62
Inakuwaje wakala wa walio pewa Tenda na serikali wanafanya kazi mpaka usiku kukamata magari usiku na mchana!!
 
Daah ngoja nimshtue huyu mdau Holy Man yeye ndiye mzee wa usiku kwa usiku labd ameshakutana nazo mkuu.
huo mchezo upo mlandizi, kuna trafic anakuwa mwanzo anacheki chombo ambayo ipo speed sana, anatoa taarifa mbele, wanategesha sehemu yenye mwanga (moja ya sehemu yenye mwanga ) nahisi njaa zao ambazo Mama Samia amewachomoloea.. ni kama genge flani tu, trafic saa nane za usiku ubatafuta nini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom