Imekula kwake

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamaa kakosea,baada ya msg kutuma kwa hawara katuma kwa mama mkwe! ilikuwa inasema,''Mi nakupenda nimevumilia nimeshindwa nimeona nikwambie ya moyoni,naomba tuwe wapenzi mke wangu hawezi kujua'''Wakati anatafakari atafanyaje jibu likaja kutoka kwa mama mkwe ''nami nakupenda,ungechelewa ningekwambia mimi,maana huwa ukiwa na mwanangu mi ndo nadata mpenzi,leo usiku uje'....dah
 
kwikwikwkwiwkwiwkwiwkwwkwiwkwiwkwiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie angeikimbiza..
 
Inaonekana wewe na Mama mkwe wako mna damu zinazofanana makundi pia wote naamini ni Ccm kwani hamna aibu.
 
Hahahahahaaa,,,, Huyo imekula kwake mazima wallahi!!!!!!!
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! hata sijui kama nimeisoma thread yako au naota, hata sijui!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom