Imekaaje?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
attachment.php

hii imekaaje huyu mwanamama anahitaji kalipio......kafunga ndoa kuwa atahimili shida na raha....after all watu wanazitafuta....
 
Attachments

  • 11.jpg
    11.jpg
    29.4 KB · Views: 265
Hahahhahahaaaaaaaaa Kwahiyo hiyo ni shida au Raha
mie nasikiaga zinatafutwa hizi ndio maana kuna za kuziboost...

....uzoefu wa wakina dadaz wanasemaje hizi za kimandingo ni raha au kero?
 
Sio siri naona mdada alizidiwa hadi kuamua kurudi kwao, mzee alifungasha vibaya mnoo! Nadhani rungu likizidi ukubwa inakuwa kero sasa, maana mdada alikuwa anaumia kila siku badala ya kupata raha.
 
Sio siri naona mdada alizidiwa hadi kuamua kurudi kwao, mzee alifungasha vibaya mnoo! Nadhani rungu likizidi ukubwa inakuwa kero sasa, maana mdada alikuwa anaumia kila siku badala ya kupata raha.
Taratibu ndiyo mwendo.Unavumilia ,with time INAZOELEKA,inakuwa palatable.Ila mdau nadhani alikuwa na haraka sana na alikosa ubunifu.NAZUNGUMZA KWA UZOEFU.
 
Back
Top Bottom