Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,328
Habari wadau,
Heri ya siku kuu ya Mt. Valentino.
Naomba kujuzwa kama ni sawa kampuni / NGO kutumia namba ya simu( iliyosajiliwa kwa Jina la mtu mwingine tena asiyekuwa mfanyakazi wa kampuni /NGO husika.
Yaani unakuta kwa mfano: mtu Alikuwa anafanya kazi pale baadae akaondoka, sasa namba uliyokuwa unatumia kwa Jina lako anapewa mtu mwingine bila consent yako na wala kampuni haitaki kubadilisha Usajiri wa laini hiyo.
Kisheria imekaaje hii? Unawaza ku- sue mtu hapa? Asanteni.