Imekaaje hii?

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.
 
Kwangu mimi nadhani ni vyema kujua japo kwa uchache...

Tupo hivi tulivyo leo kwa sababu ya jana au juzi, kuna watu wana msingi ulio na mashaka unaowafanya leo hii wasiwe imara...
 
Sioni umuhimu wa kujua kuhusu alienivunja bikra.........

I loved before.....I may Love again........ what matters ni

niko na wewe sasa......mengine ukiyajua utazidi kuumia sana

kweli eeh!!?Jeh..?Aliekuvunja bkra akiomba kamchezo utampa??
 
Kwangu mimi nadhani ni vyema kujua japo kwa uchache...

Tupo hivi tulivyo leo kwa sababu ya jana au juzi, kuna watu wana msingi ulio na mashaka unaowafanya leo hii wasiwe imara...

ni kweli,...Historia yaweza kujena msing bora wamapenz au kubomoa si ndio?
 
Ongezea na haya
1.wakati hamjaonana alikuwa na wanaume wangapi au wanawake wangapi?
2.je pindi yupo na wanaume au wanawake wale ni nani alikuwa anampenda sana na kwa nini alimpenda sana
kumhoji mpenzi wako kipindi cha aelezee ni kuleta pressure akikwambia fulani alikuwa na dudu kubwa nilikuwa nafurahia wakati wewe una dudu ndogo unakata tamaa au anakwambia hujui mapenzi fulani alikuwa anajua wewe umebakiza maigizo ya kulialia tu wakati wa majambozi na hujui mambo
 
sidhani kama kuna umuhimu wala haja ya kujua yaliyopita ya mpenzio,jambo la msingi mpo wote kwa sasa na salama,angalieni mambo yenu ya sasa na mpange ya baadaye. NB. Bata ukimchunguza humli.
 
ni vyema wakat mwingne kujua historia ya mpenzio, itajenga kujua zaidi. ila kunavitu ambavyo si muhmu kuvijua mf. Aliemtoa nyuzi, aliempenda sana kwani haya yanaweza kufanya uwe "insecure" kama watu hao unawafaham pale watapomkarbia mpenz wako.
 
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.

Mawazo ya kijinga haya yaliopitwa na wakati.

Hizi ni tamthilia za kusadikika, Mwanaume aliyevunja bikra ya mwanamke ni yule anayemeet requirements za mwanamke za kimwili na kidunia. Nyingine ni porojo tu
 
ni kweli,...Historia yaweza kujena msing bora wamapenz au kubomoa si ndio?

Mapenzi huendeshwa katika taratibu kuu mbili, physical na emotional.

Sasa ukianzisha mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyepitia magumu na bado nafsi yake ina lindi la yale aliyopitia, amini amini nakuambia mahusiano hayo mapya yatakuwa na ups n' downs nyingi...

Hivyo kuna wakti mwingine ni vyema umjue uliye naye japo kiduchu ujue namna ya kuenenda naye...
 
Usiulize
ukiambiwa, usiwe makini sana kwani bila shaka ni hadithi iliyo haririwa.
 
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.

Kama mum wako hupo hivo basi anapenda controll. Jiulize akisha jua ili iweje? yaliopita yamepita sie binadam tunaweza sau haraka yalio pita na kufucus yajayo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom