Imekaaje hii ya kumnadi mgombea na bastola waziwazi kiunoni?

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha huko IGUNGA Aden Rage amepanda jukwaani akiwa amechomoa shati lkn upande uliokua na bastola akalichomea shati na bastola hiyo kuonekana na kila aliyekuwa mkutanoni, najiuliza NI NINI MAANA YA KUFANYA HIVYO? . Souce: gazeti la mwamanchi
 
Labda anataka kujihami na Makomandoo 30 wa CDM aliowasema Wilson Mukama.
 
Wakuu kabla ya kuanzisha tread muwe mnapitia pitia basi na thread nyingine.
Kuna thread zaidi ya nne zinazohusu hiyo bastola ya msomali.
 
hii ni dalili kuwa watu wengi wamekishangaa kitendo hiki bila kushawishiwa.
 
Mkuu huko ni kufilisika kisiasa tu hakuna kingine..

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha huko IGUNGA Aden Rage amepanda jukwaani akiwa amechomoa shati lkn upande uliokua na bastola akalichomea shati na bastola hiyo kuonekana na kila aliyekuwa mkutanoni, najiuliza NI NINI MAANA YA KUFANYA HIVYO? . Souce: gazeti la mwamanchi
 
Rage ni MSOMALI,wani hamjui??????ndo athar za kubeba wagen na kuwapa majukumu MUHIMU
 
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha huko IGUNGA Aden Rage amepanda jukwaani akiwa amechomoa shati lkn upande uliokua na bastola akalichomea shati na bastola hiyo kuonekana na kila aliyekuwa mkutanoni, najiuliza NI NINI MAANA YA KUFANYA HIVYO? . Souce: gazeti la mwamanchi
Je.wanachi nao walalahoi nao wakienda kwenye mikutano ya hadhara na mapanga na sime itakuwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom