Wingu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,318
- 401
Hamad Rashid
hivi kuna kiongozi wa cuf ambae sio muislam
hivi kuna kiongozi wa cuf ambae sio muislam
Kilichonishangaza, ukiachilia mbali viongozi hao kutambulishwa msikitini ni kwa nini viongozi hao ambao idadi yao haipungui 10 ni wa dini moja?Kwa hiyo Lowasa akienda kanisani halafu mchungaji akimtambulisha kwa waumini wewe ukasikia nje kuna shida gani?.Acha kazi za akina shigongo
hivi kuna kiongozi wa cuf ambae sio muislam
Kilichonishangaza, ukiachilia mbali viongozi hao kutambulishwa msikitini ni kwa nini viongozi hao ambao idadi yao haipungui 10 ni wa dini moja?
Una uhakika?Mtatiro ni kiongozi wa CUF na sio muislamu!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hao uliowataja na hawa waliokuwa wakitambulishwa. Uliowataja ni wabunge (viongozi wa wananchi), lakini hawa waliokuwa wakitambulishwa ni viongozi wa kichama zaidi. Na ile kukutana pale viongozi karibu 10 ilikuwa coincidence!?Inatokea tu mkuu hiyo siunajua hata kama wakristo wangekuwa wote wanasali kanisa moja piga mahesabu mbowe,slaa.Mnyika,nasari,sugu na wengineo wengi wamekutana kanisani mchungaji anawatambulisha halafu wewe unapita nje utasemaje kausha mkuu.
Una uhakika?
chama cha uislam fullstop
Kumbe unafuata jina! Uliza vizuri mkuu.Anaitwa Julius, kuna muislamu anaitwa Julius nchi hii?
Kama mawazo yako ndo yamekutuma hivyo sikuzuii kufikiria hivyo.mi naona mtoa hoja hii anataka kuleta udini tuuu hana lolote, kwani kuna ubaya gani kuwatambulisha, na wewe waalike wa kwako uwatambulishe kanisani kwenu kwani nani atakuuliza.. !! wameenda kula baraka bwana vipi wewe!!!
Kwa hiyo Lowasa akienda kanisani halafu mchungaji akimtambulisha kwa waumini wewe ukasikia nje kuna shida gani?.Acha kazi za akina shigongo
Mkuu ebu tufahamishe vizuri pale Magomeni Mapipa kuna msikiti wa Kichangani, sijui ulisikiaje na msikitini sehemu ya wanawake, wanaume marufuku? Halafu huyo msikiti sehemu ya wanawake ipo juu ghorofa ya tatu.
Mkapa alikuwa kiongozi wa serikali, kiongozi wa CUF hasa kutoka na status yao ya kisiasa sasa hata akija kwangu tutafanya nae mazungumzo yetu tukimaliza namsindikiza kimya kimya, hata kwa familia yangu simtambulishi.Kuna siku nilikuwa kanisani kwa ibada hapa Arusha wakati Mkapa akiwa rais. Baada ya ibada, padri akatuambia kwamba siku hiyo "tumebahatika" kushiriki ibada na rais na akamwomba asimame atusalimie. Wengi hatukufahamu kwamba alikuwepo pale kanisani. Akatusalimia na akasema amefurahi kushiriki ibada pamoja nasi.
Binafsi sikuona ubaya wowote. Na hata hao wa cuf, sioni ubaya maana hakukuwa na mwingiliano wa imani na siasa!
Mkuu ebu tufahamishe vizuri pale Magomeni Mapipa kuna msikiti wa Kichangani, sijui ulisikiaje na msikitini sehemu ya wanawake, wanaume marufuku? Halafu huyo msikiti sehemu ya wanawake ipo juu ghorofa ya tatu.