Imekaaje hii? Viongozi wa CUF watambulishwa msikitini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imekaaje hii? Viongozi wa CUF watambulishwa msikitini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkeshaji, May 21, 2012.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanabodi,
  Jumamosi iliyopita nilikuwa pale Magomeni Mapipa kwa jamaa yangu ambaye ana duka la vifaa vya electronics.
  Mida ya mchana hivi baada ya sala ya adhuhuri nilisikia viongozi wa sekretarieti ya wanawake wa CUF wakitambulishwa, na aliyekuwa akiwatambulisha naye alikuwa mwanamama.

  Aliwataja mmoja mmoja: Mwenyekiti wa sekretarieti ya wanawake wa CUF taifa, katibu wa sekretarieti ya wanawake wa CUF taifa,........hadi wajumbe ambao wote kwa pamoja idadi yao haikupungua kumi. Bahati mbaya sikuweza kuyashika majina yao.

  Sasa nikajiuliza; Inakuwaje viongozi wa chama cha siasa wanatambulishwa kwenye nyumba ya ibada? Hadi sasa sijapata jibu!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  rip cuf.....
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwani hata hao wanaoshabikia hujui wako katika mikoa yenye watu wa itikadi gani?na magamba nao wanajaribu kuendeleza mambo kama hayo!
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,843
  Trophy Points: 280
  Hivi cuf ni nini?
   
 5. REBEL

  REBEL Senior Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  halafu CUF inajifanya inapinga udini.
   
 6. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Inahitaji uwe na akili za mwendawazimu kutoweza kuona kwamba kuna uhusiano wa karibu kati ya ushabiki wa kisasa kwa CUF na dini ya kiislamu. Ni waislamu wachache walio liberal thinkers ambao hawatajiunga na CUF kwa sababu tu wao ni waislamu.
   
 7. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  CUF=udini
  Bila udini CUF haiwezekani.
   
 8. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Civic United Front.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Chama cha Uislam Fullstop
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu ebu tufahamishe vizuri pale Magomeni Mapipa kuna msikiti wa Kichangani, sijui ulisikiaje na msikitini sehemu ya wanawake, wanaume marufuku? Halafu huyo msikiti sehemu ya wanawake ipo juu ghorofa ya tatu.
   
 11. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHADEMA waazimeni hao jamaa PADRI au MCHUNGAJI mmoja, ili siku nyingine wakatambulishanwe kanisani kama nyie!
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ni kawaida yao walianza zamani sana kufanya hivyo! We umewaona leo?
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kuna siku nilikuwa kanisani kwa ibada hapa Arusha wakati Mkapa akiwa rais. Baada ya ibada, padri akatuambia kwamba siku hiyo "tumebahatika" kushiriki ibada na rais na akamwomba asimame atusalimie. Wengi hatukufahamu kwamba alikuwepo pale kanisani. Akatusalimia na akasema amefurahi kushiriki ibada pamoja nasi.
  Binafsi sikuona ubaya wowote. Na hata hao wa cuf, sioni ubaya maana hakukuwa na mwingiliano wa imani na siasa!
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi sikuwa msikitini, nilikuwa nje huku kwenye maduka. Huyo mama mtabulishaji alisikika kirahisi mno kwa sababu alikuwa akitumia kipaza sauti. Hata kwa mtu aliyepita barabarani angeweza kusikia utambulisho huo.
   
 15. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hoja kama hizi akina Rejao huwa hawazioni. Ila ingekuwa Chadema duh!!
   
 16. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Sioni ubaya kwa viongozi wa kisiasa ambao ni waumini wa dini hiyo kutambulishwa uwepo wao, kibaya ni pale viongozi hao wa kisiasa kutumia fursa hizo kuelezea sera za vyama vyao!
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo Lowasa akienda kanisani halafu mchungaji akimtambulisha kwa waumini wewe ukasikia nje kuna shida gani?.Acha kazi za akina shigongo
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hivi kuna kiongozi wa cuf ambae sio muislam
   
 19. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  CHAMA CHA UDINI na FITNA
   
 20. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna sharifu
   
Loading...