Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

Nilichogundua hapa, mtoa mada ana wivu wa kijinga! lakini pia ana muda mwingi wa kuzubaa zubaa nyumbani bila sababu kiasi cha kupata muda wa kuchungulia meseji za shemeji yake wa kike na pia housegirl wake.
 
Yamekuwa hayo Kwahiyo wewe unalala kazini ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom