IMEJIPOST YENYEWE HII PICHA MENDE MTOTO NDANI YA BISKUTI....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,113
mende mdogo akutw andani ya biskuti.jpg
biskuti ya mende.jpg
 
Kwa dizaini ya hivi viwanda vya wachina huku kwetu vilivyo getto sishangai huyo mende kuwepo huko.
 
unga wa kutengeneza biscuit na mikate uchanganywa na machine mpaka uwe tayari kuingizwa kwenye oven.wakati wa hii process vingi vinaweza ingia kwa bahati mbaya!!.bekari nyingi hapa Tanzania Ngano ilikuwa inakandwa kwa watu kukanyaga kanayaga na miguu yao (majasho nk was part of the breads)
 
Back
Top Bottom