Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Angalia mwenzako wa kenya uhuru anavyochanja mbuga na kuimarisha uwekazaji kutoka marekani na uingereza na kwingineko. Alikuwa juzijuzi kwa trump halafu teresa mei kamfata nyumbani wote wanaimairisha uwekezaji na mashirikiano kuimarika.
Plz safili kwa watu walioendelea ili usaidiwe mana huwezi kuwa kila siku wewe safari zako ni kwenda mwanza na kagera na mikoa mingine ukatarajia unaimarisha uchumi. Kumbuka ukienda huko wanakulilia tu uwasaidie na wewe huna hela hivyo mnaishia kugawana umasikini ambapo nyerere usosharist ulumshinda kwa sababu ya kugawana umaskini na watu na kuwaona wenye hela kama ni maadui. Mwenzio kikwete alikuwa anashinda nje siyo mwehu ndo mana madaraja na ajira zilikuwa za kumwaga kwa sababu alikuwa anajua kula na kipofu ndo mana alikuja na msemo kwamba 'ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa kidogo" japo wengi hawakumuelew lakini it was too philosophical.
Unaposhinda unazulula mikoa ya pembeni huongezi chochote wala FDIs haziongezeki sanasana unaongeza chuki na kuwaumiza wafanyakazi wa chini. Wape nafasi wapumue ili vipaji vyao vijidhihirishe.
Kazi ya urais ni kutafuta pesa poppte zilipo pasipo kurely kuwakamua tu wananchi kodi pekee ambayo kwanza hawana pesa lakini ungang'ang'ana hizohizo, sasa huo sibkugawana umaskini. Toka nje mshikaji wangu.Shauri yako nchi inakushinda hivihivi!!