Imefichuka huyu ‘ Mtu ‘ ndiye ‘ aliyemchoma ‘ Ndugu Erick Kabendera hadi hivi sasa ‘ anateseka ‘ huko aliko

Hivi kwanini Binadamu hatupendi kutumia akili zetu? Acheni kimchonganisha Pascal Mayalla na waandishi wa habari. Nilikua nasoma sana hoja za Pascal Mayalla kuhusu the economist na nilimuelewa sana.

Na kamwe usitegeeme Pasco atakuja hapa aseme kwenye uchambuzi wangu nilikua namaanisha hivi,

Acheni tabia zenu za speculations, nani kasema Erick amekamatwa kwasababu ya kazi yake ya kiuandishi? kwanini watanzania tunapenda sana speculations? kama unahisi kitu na huna uhakika nacho kwanini ukiandike mtandaoni?

Wengi tunamlilia Erick lakini kesi yake ndio ipo mahakamani ukweli utajulikana tu. Mimi sishangilii kuwekwa kizuizini kwa Erick nina machungu kama binadamu wenzangu ila ni kuomba Mungu haki itendeke.

Kama kuna ushahidi amehujumu uchumi basi awajibishwe, kama hakuna ushahidi basi ataachiwa huru.
 
Alishawahi kuwa Mwandishi wa Habari tena za Uchunguzi miaka ya 2000 hadi 2006 hapo
Ukitaja wale Wamiliki wa Mitandao mbalimbali ya Kijamii iliyopo Tanzania naye pia yumo
Nae anatokea Kanda ya Ziwa
Ni Rafiki yake wa karibu sana tu
Siku Erick alipopelekwa pale Kisutu alionekana Kujifanya anasikitika mno
Ni Mnafiki japo machoni mwa wengi anajifanya Mtu mwema na Mpambanaji
Anajifanya ni Mpinzani mwana CHADEMA wakati kumbe ni mwana CCM mzuri tu

Kama una Akili nadhani utakuwa tayari umeshamjua. Mwenyezi Mungu anamuona na ‘ atamlaani ‘ sana tu.

ANGALIZO.

Kuanzia sasa usijiamini sana na usimuamini mno Mtu ambaye unadhani ni Rafiki yako kwani dunia ya sasa imebadilika. Kila la Kheri nyote.
kama hwezi kumtaja acha, maana this msg is useless
 
Ukisema kamchomea maana yake ni kuwa huyo kaflagi ni kweli ana makosa na alikua amejificha sasa jamaa kambamba huko chimbo alikojificha na kumuweka hadharani ili adakuliwe. Hivyo kutokana na hoja yako hiyo ni kuwa kaflagi ni muhalifu na sheria inachukua mkondo. Pia inaonesha na wewe ulikua unajua uhalifu wake na ulikua umemficha hivyo na ww ni muhumiwa pia.
 
Walimtaja humu kuna uzi, walisema ni Pascal Mayalla naye alijibu kuwa baada ya kikao cha SADC angekuja kujibu ila mpaka sasa hajibu labda tumwite aje ajibu, Pascal Mayalla njoo huku ujibu watu wameanza kuulizia tena

Yaani mzee baba Pasco ajigeuze kuwa Yuda Iskarioti! Unachukua burungutu, halafu unawapeleka mwenyewe kwa ndugu na rafiki yako ili aingizwe matatani kwa kesi ya uhujumu uchumi, kutakatisha fedha, kukwepa kodi na kushirikiana na genge la wahalifu?

Ila huyu mkuu wetu Pascal Mayalla ndiye aliyekuwa mleta mada mkuu wa hilo gazeti la The Economist lililokuwa likichambua masuala ya kiutawala nchini mwetu! Na kuna kipindi alichangia mada fulani humu akisema na yeye anapitia kipindi kigumu sana. Kama unatumia njia ya kuunganisha dots unaweza kuamini aisee!
 
Alishawahi kuwa Mwandishi wa Habari tena za Uchunguzi miaka ya 2000 hadi 2006 hapo
Ukitaja wale Wamiliki wa Mitandao mbalimbali ya Kijamii iliyopo Tanzania naye pia yumo
Nae anatokea Kanda ya Ziwa
Ni Rafiki yake wa karibu sana tu
Siku Erick alipopelekwa pale Kisutu alionekana Kujifanya anasikitika mno
Ni Mnafiki japo machoni mwa wengi anajifanya Mtu mwema na Mpambanaji
Anajifanya ni Mpinzani mwana CHADEMA wakati kumbe ni mwana CCM mzuri tu

Kama una Akili nadhani utakuwa tayari umeshamjua. Mwenyezi Mungu anamuona na ‘ atamlaani ‘ sana tu.

ANGALIZO.

Kuanzia sasa usijiamini sana na usimuamini mno Mtu ambaye unadhani ni Rafiki yako kwani dunia ya sasa imebadilika. Kila la Kheri nyote.
Ile "JF where we dare to talk openly" nayo imebadilika siku hizi
 
Popoma katika ubora wake, wale mtakao comment tofauti na mawazo yake jiandaeni kwa mvua ya matusi! Hapa nishajiweka tayali kupokea tusi toka kwa popoma aka genta na mada zake za kuunga unga, anajaribu kuchange uandishi wake lkn ndio hivyo tena, nikija kwenye hoja kwani anayewatesa na kuwaumiza watanzania hajulikani mpaka ujifanye kuandika mafumbo mafumbo ili uonekane una taarifa nyeti sn? We jamaa sijui unatokea shamba lipi?
Genta my sin katika ubora wake
 
Alishawahi kuwa Mwandishi wa Habari tena za Uchunguzi miaka ya 2000 hadi 2006 hapo
Ukitaja wale Wamiliki wa Mitandao mbalimbali ya Kijamii iliyopo Tanzania naye pia yumo
Nae anatokea Kanda ya Ziwa
Ni Rafiki yake wa karibu sana tu
Siku Erick alipopelekwa pale Kisutu alionekana Kujifanya anasikitika mno
Ni Mnafiki japo machoni mwa wengi anajifanya Mtu mwema na Mpambanaji
Anajifanya ni Mpinzani mwana CHADEMA wakati kumbe ni mwana CCM mzuri tu

Kama una Akili nadhani utakuwa tayari umeshamjua. Mwenyezi Mungu anamuona na ‘ atamlaani ‘ sana tu.

ANGALIZO.

Kuanzia sasa usijiamini sana na usimuamini mno Mtu ambaye unadhani ni Rafiki yako kwani dunia ya sasa imebadilika. Kila la Kheri nyote.
The worst paparazzis I've ever seen and I ever known.
 
Walimtaja humu kuna uzi, walisema ni Pascal Mayalla naye alijibu kuwa baada ya kikao cha SADC angekuja kujibu ila mpaka sasa hajibu labda tumwite aje ajibu, Pascal Mayalla njoo huku ujibu watu wameanza kuulizia tena

KUNA MAANDIKO YANASEMA USIMJIBU MPUMBAVU USIJE FANANA NAE

SIO KILA JAMBO UNALOULIZWA UNAJIBU MENGINE N KUJIUNGAMANISHA NA UPUMBAVU WA WATU WENGINE
OV.OV
 
MAMBO YA WALAWI 19:27-28 Msinyoe denge pembe za vichwani,wala msiharibu pembe za ndevu zenu. Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu,wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
 
Back
Top Bottom