Imefahamika jinsi Raia wa Kigeni alivyouawa Arusha

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Kuna tetesi kuwa raia asiye na hatia wa nchi jirani aliuawa na mashabiki wa cdm ambao wengi wao ni vibaka.

Raia huyo alikuwa amekuja kibiashara hivyo alikuwa na pesa.

Inaaminika aliuawa kwa bastola chini ya kivuli cha fujo walizozianzisha ili ionekane kuwa mtu huyo ameuawa na Polisi.

Hii ni aibu na uhuni uliopitiliza. Viongozi wa chama hiki lazima wawajibishwe kwa kuchochea wafuasi wao kuua.

Maoni ya wengi ni kwamba Msajili wa vyama anachelewa kukitambua CDM kama CHAMA CHA KIGAIDI ili kifutwe na kuinusuru nchi yetu.

KWA MAUAJI YA ARUSHA KAMWE HATUTAWASAMEHE. You will pay for it!
 
Basi kama ni hivyo polisi wa tanzania ni wahuni wamemkaba na kumuibia mgeni pesa yake, Mwema jiuzulu kbla ya IIC hawajatuma polisi wao mwenye akili timamu
 
kama habari yenyewe ni tetesi sasa anataka Msajili afute chama cha siasa chenye wafuasi zaidi ya Milioni 2 kwa tetesi!??

My life time lesson, 'dont talk bad about the dead and the stupid'

Eeh Mungu wa rehema wasamehe wale wote wanaohitaji msamaha wako!
 
Huyo jamaa anafanya utani wakati bado sisi wa Arusha tuna majonzi hata nimekosa neno la kumjibu huyo mjinga
 
ungebadili id yako kabla ya kupost angalau ingepata mashiko lkn wewe kinshongo mh!!
 
Mimi nilisema humu, ikichunguzwa itakutwa Chadema ndio waliouwa ili tu, kutimiza siasa zao za ubaguzi na uchochezi.

Hata iwe ni askari ndio waliouwa, still, kama ni askari huwezi kukaa na silaha wakati watu wanakuja kukufanyia fujo na wanataka kukivamia kituo cha polisi, kwa hilo askari wana haki zote. Na waliouwa ni wale waliowatuma hawa ma-mbumbumbu waende kituoni wakati wao (wajanja) wameingia mitini, kama mahodari, si hao viongozi ndio wangetangulia mbele? lakini walijuwa hapa kuna shaba, wakawaacha "wajinga ndio waliwao" watangulie mbele, duhh.
 
mnh......wacha uongo,hata mtoto mdogo au zumbukuku hawezi kubuy huu ujinga! shame on you great thinka!:ban:
 
Demokrasia si kuwadanganya watu waende kufanya fujo, wakati wewe jamadari, umekwenda kujificha hotelini kwako.
 
Kama anataka kufuta chadema kwa kuua mtu mmja , kwa nini asifikrie kufuta jeshi la polisi ambalo limeua watu watatu na limekiri kufanya hivyo"????

kishongo ni huyu hapa kwa wasiomfahamu

Last edited by a moderator:
Kuna tetesi kuwa raia asiye na hatia wa nchi jirani aliuawa na mashabiki wa cdm ambao wengi wao ni vibaka.

Raia huyo alikuwa amekuja kibiashara hivyo alikuwa na pesa.

Inaaminika aliuawa kwa bastola chini ya kivuli cha fujo walizozianzisha ili ionekane kuwa mtu huyo ameuawa na Polisi.

Hii ni aibu na uhuni uliopitiliza. Viongozi wa chama hiki lazima wawajibishwe kwa kuchochea wafuasi wao kuua.

Maoni ya wengi ni kwamba Msajili wa vyama anachelewa kukitambua CDM kama CHAMA CHA KIGAIDI ili kifutwe na kuinusuru nchi yetu.

KWA MAUAJI YA ARUSHA KAMWE HATUTAWASAMEHE. You will pay for it!

:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
 
Back
Top Bottom