Imebidi tu nicheke! Sio kwa ubunifu huu


Eti majeneza ndani, hata selemala wa majeneza tu sidhan kama analala na majeneza kwake
 
Unanunua jeneza na kuliweka chumba cha wageni.

Jamaa kila akilala anaota mauza uza.

Kesho yake asbuhi ataomba nauli
 
Duh umenikumbusha rafiki yangu yuko
Mwanza niliienda kwake sikufrahi kwakweli.Yaani foleni mpaka chooni
 
Kuishi kizungu ni sawa lkn kumbuka mpaka kutoka hapo ulipo pia umepita sehemu nyingi iwe kwa mjomba au rafiki wa baba ako ilimradi mambo yaende tu sasa leo unaitwa Fulani una kwako unaanza mashauzi kumbuka ulikopita tusijishau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom