hahahhah..Vyote vitatu kwa pamoja jumlisha na ubinafsi
Sio roho mbaya. Nimeipenda namba 3. Kuna baadhi ya nyumba watoto hugeuzwa wakimbizi ndani ya nyumba ili tu kuaccommodate wageni. Watoto wanapaswa kuwa na vyumba vyao permanent na wageni wafikie guest houses kama huna pa kuwaweka. Na huu sio "uzungu" wala sijui roho mbaya. Ni ustaarabu.
hhahaha mie siku 1niliwah mwambia had mume ishi na mtu bak kuliko ndugu jaman !wanajisahau jaman !dah km una roho ndogo unaweza lipakia asbh stend lirudi kwako sengerema huko !jaman kuna keroooo !
Ongeza na mashimo ya makaburi ITAPENDEZAMI KWANGU HAWAJI VYUMBA VINGINE NIMEWEKA MAJENEZA MAKSUDI KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE WAKATI HUO USIGUSE HALI YANGU