Imebidi tu nicheke! Sio kwa ubunifu huu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,702
IMG-20171113-WA0003.jpg
 
Namimi nilishakaa nikafikiria jinsi ya kupambana na hii changamoto yafuatayo ni mapendekezo yangu:
1.Tafuta kiwanja kikubwa kilicho nje kidogo ya mji, hapo ndipo yawe makazi yako ya kufumu.
2.Buni miradi ambayo kila mtu anayekuja kwako awe sehemu ya uzalishaji mfano, fuga kuku, ng'ombe,lima bustani n.k halafu uje utuletee mrejesho.
N.B Usiifanye nyumba yako kuwa sehemu ya watu kuja kupumzika baada ya kufanya mambo yao.
 
Sio roho mbaya. Nimeipenda namba 3. Kuna baadhi ya nyumba watoto hugeuzwa wakimbizi ndani ya nyumba ili tu kuaccommodate wageni. Watoto wanapaswa kuwa na vyumba vyao permanent na wageni wafikie guest houses kama huna pa kuwaweka. Na huu sio "uzungu" wala sijui roho mbaya. Ni ustaarabu.
 
ni kweli mnajikuta mnalala na watoto kisa tu baba wadogo wapo !nadhan nyingine kuwalaza sebulen itasaidia sana ila nadhan itakuwa applicable kwa baadhi ya makabila !ila sio 'wasukuma! wenyee hata kwenye zizi wako radhi walale
 
Mwisho wa siku, riziki anagawa Mungu, ukiendekeza roho chachu maisha yatakubaki ivo ivo, japo kila kitu kifanyike kwa kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom