Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.

We kijana hebu acha mambo ya ajabu. Unajua leo ndiyo nimeanza kusoma hizi nyuzi za mahusiano na nagundua wengi tunakatabia ka kuwa dhaifu mbele za wake. Sasa nini kinachokushinda ukifika ukamkuta barazani sijui na mashoga zake, ukaenda moja kwa moja ukawasalimia vizuri na kumkumbatia halafu ukampa ulichobeba na kumpiga bao la tako, kisha ukamwambia hebu ingiza ndani nakuja. Halafu kaa pale na mashoga zake dakika kama kumi ama kumi na tano, hakikisha unapata namba ya simu ya mmoja wao kumgegeda, hebu tuwe vidume banaaa uone kama atakaa barazani, halafu ukiingia ndani gonga mzigo kila siku!
 
Ni sawa. Lkn huyu ndugu yetu kasema alionyeshwa akaenda moja kwa moja kutoa posa akaoa, sidhani km alipata muda wa kumjua vzr. Hata hivyo amesema tabia zake nyingine ni njema
Wengine hapa wanamshambulia my wife wakisahau yuko vizuri idara nyengine. Nimeleta huu Uzi ili kuonyesha ni vipi naweza ibadilisha hii yake na kama mtu ana mbinu mbadala anipe nizitumie nimbadilishe
 
We kijana hebu acha mambo ya ajabu. Unajua leo ndiyo nimeanza kusoma hizi nyuzi za mahusiano na nagundua wengi tunakatabia ka kuwa dhaifu mbele za wake. Sasa nini kinachokushinda ukifika ukamkuta barazani sijui na mashoga zake, ukaenda moja kwa moja ukawasalimia vizuri na kumkumbatia halafu ukampa ulichobeba na kumpiga bao la tako, kisha ukamwambia hebu ingiza ndani nakuja. Halafu kaa pale na mashoga zake dakika kama kumi ama kumi na tano, hakikisha unapata namba ya simu ya mmoja wao kumgegeda, hebu tuwe vidume banaaa uone kama atakaa barazani, halafu ukiingia ndani gonga mzigo kila siku![/QUOTE Duuh haka kashauri kazuri nitakafanyia kazi japo siyo yote
 
Wengine hapa wanamshambulia my wife wakisahau yuko vizuri idara nyengine. Nimeleta huu Uzi ili kuonyesha ni vipi naweza ibadilisha hii yake na kama mtu ana mbinu mbadala anipe nizitumie nimbadilishe
Uzuri wake idara nyingine ungeuweka tangu mwanzo, pole
 
Hiyo tabia ya mwanamke kukaa barazani nayo sio nzuri! Hao wanawake wangekuwa wema wangemwambia kampokee mumeo!

Kuna wengine hata uwaambie hawabadiliki. Sijui huwa wana matatizo gani? So usikute nao huwa wanamwambua si hata mumewe kamwambia hapendi hiyo tabia!
 
Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!

Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!

Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
Kweli kabisa mtu kama huyo kumpokea mume wake ni kazi usitegemee amuambie pole kwa kazi au uchovu. Hajui kwamba kuna kitu anakijenga kwa mumewe bila ya yeye kujua na inaweza kumgharimu kwa namna moja au nyingine. Mwanaume anataka kubembelezwa ati
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Umetumia hekima sana hapo kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kakosa sifa ya kuwa mke amekunyima unyumba. Hiyo adhabu atakuwa anakufanyia mpaka ukome. Mimi nikinyimwa tuu natafuta mwingine wa kumla
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Utakula uliko peleka mboga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom