Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 133
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
We kijana hebu acha mambo ya ajabu. Unajua leo ndiyo nimeanza kusoma hizi nyuzi za mahusiano na nagundua wengi tunakatabia ka kuwa dhaifu mbele za wake. Sasa nini kinachokushinda ukifika ukamkuta barazani sijui na mashoga zake, ukaenda moja kwa moja ukawasalimia vizuri na kumkumbatia halafu ukampa ulichobeba na kumpiga bao la tako, kisha ukamwambia hebu ingiza ndani nakuja. Halafu kaa pale na mashoga zake dakika kama kumi ama kumi na tano, hakikisha unapata namba ya simu ya mmoja wao kumgegeda, hebu tuwe vidume banaaa uone kama atakaa barazani, halafu ukiingia ndani gonga mzigo kila siku!