Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Inategemea kuna wachumba wengine wanaishi pamoja kabla ya Ndoa hivyo ni rahisi kila mmoja kujua tabia ya mwenzake japo kidogo.
Ni sawa. Lkn huyu ndugu yetu kasema alionyeshwa akaenda moja kwa moja kutoa posa akaoa, sidhani km alipata muda wa kumjua vzr. Hata hivyo amesema tabia zake nyingine ni njema
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
Unapend sana K kaisi kwamba anakuona wrwe ni mtumwa wa K na anakuendrsha, ona pamoja na tukio hilo bado unalalamika eti alikunyima Nyama yake, ulitaka akupe wakati umelisha ugali mkavu?

Jiangalie dogo hiyo ndoa haitafika mbali kwa mafanikio
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh! Kumpokea mtu au kumpa pole mtu au hata jiraji katoka kazini ni Umwinyi??

Tunawapokea majirani vipi kuhusu mke au mume wako??

Dunia hii ina mambo.

Kama kwako ni unyenyekevu it's ok unawapokea tu

Ila kwetu siyo issue kupokea mtu haswa ukiwa una shughuli nyinginezo
Swali lake kuu huwa ni hili.....

Nimeweza kuubeba huu mzigo toka nilipotoka hatua mbili hizi ndizo zinishinde mpenzi?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ufyatue watoto mkuu watakuwa wanakusubiri stendi kabisa kukupokea
Kabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
 
Mke Wako Itakuwa Either 1, Amelelewa Na Single Mother 2, Amelelewa Kwa Bibi 3, Amelelewa Na Mama Wa Kambo Au Pengine Umemuoa Akiwa Na Umri Mkubwa
 
Hongera sana mkuu mtoa mada atajifunza kupitia wewe
 
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.

We jamaa ni jiniasi wa ukweli. Hongera.
 
Sema naona kuna shida hapo?.
 
Kabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
Hongera pia kwa kuwa na kichwa kama karanga kinachopita ndege juu yake
 
Kabisaaaaaa.
Katoto kangu ka pili kanaitwa Mercy hii ndio kazi yake.Nikifika kwanza wao toka mbali.Pil barazan kabla cjaingia ndani kananivua viatu na soksi baada ya hapo kanapeleka chumban huku diary yangu kanakuja kuifuata.Habanduki pembeni hapo mpaka anasinzia muda wote stori za kila kilichojiri home na nakaamin sana maana at an age of 2 years kanajua kusema kwel.
Big up kwa my wife wangu kwa shule hii ya nyumban maana licha ya kutokua na pesa ila najiona bonge ya mtu wa maana hapa duniani...
homgera sana mkuu inaonekana my wife wako yuko vizuri....acahana na hawa wafangaji wanaona kumpokea mtu eti ni kupenda umwinyi.
 
Mke Wako Itakuwa Either 1, Amelelewa Na Single Mother 2, Amelelewa Kwa Bibi 3, Amelelewa Na Mama Wa Kambo Au Pengine Umemuoa Akiwa Na Umri Mkubwa
Mkuu unenichekeaha sana, kuna jibu moja katika hayo ni sahihi.

Single mothers wanatuharibia jamii
 
Unapend sana K kaisi kwamba anakuona wrwe ni mtumwa wa K na anakuendrsha, ona pamoja na tukio hilo bado unalalamika eti alikunyima Nyama yake, ulitaka akupe wakati umelisha ugali mkavu?

Jiangalie dogo hiyo ndoa haitafika mbali kwa mafanikio
Kweli mkuu hakuna kitu ninakipenda sana duniani zaidi ya papuchi yaani hakuna. Ila nimekwambia kuwa maeneo mengine yuko vizuri tatizo ni hili tu la kutonipokea, hili kweli ndo livunje ndoa duuuh.
 
Back
Top Bottom