IMEANDIKWA NA ABDUL HAMZA.

247

Senior Member
Mar 29, 2016
188
197
NANUKUU,

Kumhusisha prof. Lipumba na kushindwa kuitetea Zanzibar au kuhusisha juhudi zake za kurudi katika nafasi ya uenyekiti na ukwamishaji wa ukombozi wa Zanzibar ni upotoshaji na uongo mweupe kabisa.

Mkakati wetu CUF kuhusu Zanzibar umefeli kabisa hapo tumejenga umoja na mshikamano wa waznz ila ukombozi wa znz uko mbali bado, kwa hapa tulipofikishwa ni kama tumerudi nyuma hatua 380 toka tulipokuwa 2010 !

Sioni mantiki ya hili kuhusishwa Lipumba kwani tangu 1995 Lipumba alikuwa anatumika kukwamisha harakati za Zanzibar kuwa huru !?

Kuanzia Leo naona ndio mtatuelewa pale tulipotaka maridhiano na hekima na busara kutumika zaidi, nyie mkatumia uroho wa madaraka na kugawana vyeo, Leo jioni nimepita na kuingia ofisi kuu nimewakuta wafia chama tu , nikajua tayari CUF imeingizwa katika mgogoro mkubwa ambao utakigharimu chama hiki kwa muda mrefu ujao na huenda ukawa ni fursa ya mabadiliko makubwa ndani ya chama na ofisi kuu ili kuleta Tija , ufanisi, uchumi na ubora haya chini ya misukole iliyokuwepo pale tusingetarajia !

Chama Leo imefikia hatua kinalindwa na security guards !? baada ya Lipumba kurejea leo kinalindwa na wanachama wake !? hamuioni hii tofauti na kuwa inasema kitu !?

Usiku mwema.

MWISHO WA KUNUKUU.
 
Mimi ushauri wangu kwa maalim, na mtatiro,kweni lazima kukomaa na CUF?njooni ACT hiyo kafu waachieni hao wasaliti professa na genge lake. Karibuni tulianzishe.
 
  • Thanks
Reactions: 247
Back
Top Bottom