Imani, Miujiza na Upendo, hivi majini ya kiswahili yataelewa kiingereza?

spirituality has no limitations, whatever is the languages or what.. ukiwa ktk ulimwengu wa roho kila kitu ninwazi, yaan kinajulkana, ndiomaana unaweza kuota ndoto fulan ukiwa unazungumza na mtu wa nchi na lugha tofaut na yako, lkn ukamuelewa, pia kuna wale wanaota wanasoma topics ambazo hawakufundishwa darasan, and in reality akipitia anaona kwel alchoota ni kweli.

sasa hao wazungu wanaokuja huku na mamikutano yao, yao wanapoomba hutumia spiritual communication kuwacomand viumbe wa kiroho kufanya jambo fulan kulingana na maombi yao.

elewa kuwa lugha ya mwlini si lugha ya rohoni, lkn inaweza chambuliwa(convertiwa) kutoka physical language into spiritual langauage, na viumbe wakaelewa.

shida inaweza kuwa waombewaji ao waswahil wenye izo shida, watajkuta wameanguka na kushtuka baadae bila kujua nn kilitokea, lkn uhalisia n kuwa, mambo ya kiroho hayana mipaka ktk lugha wala rangi na kabila.

mwisho wa yote, hawa wazungu si watu wazuri, wao kuja huku si kuonesha wanawapenda ama Mungu kawaleta waje kueneza neno lake, hao ni wahuni kama wahuni wemgine, hao ni kile kizaz cha mababu zao waliokua na ndoto za kuitawala afrika na kuicontrol kupitia dini&siasa na uchumi.

Mungu kama anakupenda atakuletea mtumish wa nyumban kwako(nchi/mji) anaejua matatzo yako,na sio mgeni aje akutatulie shida zako, et kaambiwa na Mungu, Mungu yupi??, tafuta ktk biblia hutoona hui upuuzi kama ufanyikao leo,

manabii&wahubir wamejaa hapa nchini sasa uyo Mungu anashindwa vipi kuwatumia hawa wanaojua shida zetu, mpka awaite awo watesi wetu kuja kutuhibilia? kama hawajatumwa na Mungu basi wamejituma wnyew, na mtaendelea kuwatajirisha kwa upumbavu wenu, mtafungwa akili na kufanywa misukule ya kiroho na kimwili, yaan watumwa wa akili.

we angaliwa watu wanaoshobokea iyo mikutano yakipuuz hata akili zao za hovyo, maendeleo hawana zaid ya kubaki na imani za vitisho kuhusu moto wa jehanam na matumaini hewa ya utaajiri wa mbingu ambao kimsingi haupo na hautowai kuwepo.

asikudanganye mtu, et mbna wanaombea na watu wanapona ama kuanguka, (hata waganga wanaponya), hakuna pepo wakumtoa pepo mwenzake, jiulize tangu manabii, na wachungaji waanze kuhubiri na kutoa mapepo mbna shida haziishi? kuanguka mbna hakuish?, jibu utapata kuwa, wao hawaji kukukomboa, bali kuituliza shida yako kwa muda tu na kukuibia sadaka.

wao wanatumia nguvu za pepo kuwaponya shida zenu kwa kisingizio cha damu ya yesu na uongo mwingi.

Narudia tena, ninyi mnaopenda kujumuika ktk hayo mamikutano yakipuuzi, acheni mnaarbu maisha yenu na vizaz vyenu, mtu wa dini hasa mzungu si ndugu yako, hao wamerithi uongo na kusambaza uongo..
 
Nilikuwa siamini Sana kuhusu MAJINI yanayopanda vichwani....nilikuja kushangaa kwa "house girl" aliyeishia darasa la 7 ,mdogo na aliyetoka kijijini kuongea lugha ya KIFARANSA pale apandishapo majini.....duuuh dunia hii.....kweli MTU anaweza kubisha kwa ASICHOKIJUA NA KUKIONA.....

Dunia ina maajabu mengi hii.....🤣🤣
Sio hivyo tu kuna ambayo yanaongea hadi kichina, kiyahudi, kiarabu na hata kihispania...hawa viumbe wapo ila Mungu ametunyima macho ya kuwaona.Wao wanatuona ila sisi hatuwaoni
 
Majini yanaongea lugha zote duniani.

zile ni roho mkuu hazina kabila wala lugha maalum.

Jiulize je Yesu mwenyewe anaongea lugha gani? mbona kila taifa linamuomba na anajibu?
Majini wana makabila na pia wana lugha maalumu kama tulivyo sisi wanaadamu. Kuna wanaojua lugha zaidi ya moja na wao pia wapo hivyo hivyo
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom